Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

Achraf Hakimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
943
Reaction score
1,944
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports
 
Kwaiyo kamati ingeangalia mahaba ya mchezaji na sio sheria na mkataba wake🤣🤣🤣
 
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports

Kama mwanadamu aibu nilazima iwepo na pia ukitama ile video ya mashabiki wa Yanga baada ya Mechi ya Azam waki imba kama hamtaki fei...

Huja kaa sawa una sikia kauli kutoka kwa mashabiki zikisema Fei ana ihujumu timu..

Unarudi unaona kwenye timu wachezaji wenzio walivyo lichukulia swala lako wanaona nikama unataka kuivuruga Yanga

Nikitudi namuelewa sana FEI akisema harudi
Nikweli ana hitaji mtu wa kumpa msaada wa kisaikolojia Zaidi..ili aweze kurudi uwanjani.....!!!!

La sivyo asipo kuwa makini kuchukua maamuzi sahihi hili swara lita mwaribu yeye na sio club..Afanye maamuzi muda huu
 
huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Wachukue mpunga upi labda? Kwani wanaomtaka washatuma ofa yao? Au unasemea mpunga upi? Tunachojua hao wahuni waliomuingiza chaka washaogopa ata kunusa pua zao pale jangwani kwakuwa washachafua hali ya hewa wanajua ata wakienda awatouziwa uyo feisal labda klabu toka nje ya nchi ndio imnunue na sio wahuni wahuni waliomvuruga kijana
 
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports
huyo wakili nimemsikia ni wazi kabisa anampotosha mteja wake,kwanza kasema amepokea uamuzi kwa taharuki,very unprofessional kabisa kutumia neno hilo kuelezea hukumu,pili anafanya kama kulaumu kwa kamati kutoa sumnary ya hukumu,kitu ambacho ni kawaida kabisa,tatu anasema anashangaa kwa kamati kuamua fei arudi yanga kwani yeye hana mapenzi na yanga,fei ni mchezaji wa yanga na kama hana tena mapenzi na yanga afuate utaratibu kuuvunja mkataba na hivyo ndio wakili wake anapashwa kumuelekeza sio kumpotosha
 
Ni hali ya kawaida ya Kibinaadamu sidhani hata kama inahusiana na sheria.

Alishajitoa kwa miguu yote akiamini kwamba yupo upande sahihi sasa mambo kubadilika kwa vyovyote kwake ni kama pigo...kumbuka huenda ni jambo alilopanga kwa muda mrefu kabla kufikia hapo.

Hivyo hata kama Timu ndio ipo sahihi kisheria bado kwa upande wake kurudi kwenye timu inahitaji ujasiri ambao sio kila Mtu amejaaliwa.
 
Azam waache kujificha kwenye magodauni ya ukwaju waje mezani wamchukue mchezaji kwa utaratibu la sivyo huyu dogo anaenda potea.

Dogo Feisal alijua pale ni ndondo cup unachukua Hela alafu unarudisha unaenda timu nyingine😂😂😂
 
Kama mwanadamu aibu nilazima iwepo na pia ukitama ile video ya mashabiki wa Yanga baada ya Mechi ya Azam waki imba kama hamtaki fei...

Huja kaa sawa una sikia kauli kutoka kwa mashabiki zikisema Fei ana ihujumu timu..

Unarudi unaona kwenye timu wachezaji wenzio walivyo lichukulia swala lako wanaona nikama unataka kuivuruga Yanga

Nikitudi namuelewa sana FEI akisema harudi
Nikweli ana hitaji mtu wa kumpa msaada wa kisaikolojia Zaidi..ili aweze kurudi uwanjani.....!!!!

La sivyo asipo kuwa makini kuchukua maamuzi sahihi hili swara lita mwaribu yeye na sio club..Afanye maamuzi muda huu
Vijana wetu wanapaswa kujua hasa wazawa, hizi timu mbili za kariakoo ni zakwenda nazo taratibu na kwa umakini mkubwa tofauti na hapo ni mtaka yote kwa pupa.......
 
huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Vipi kama ingetokea Yanga ikawa haimuhitaji huyo Fei Toto! Wangekuwa sahihi kumuwekea hela kwenye akaunti yake ya benki, halafu viongozi wakajitokeza hadharani na kusema wamevunja mkataba na huyo mchezaji! kwa kumwekea hela yake kwenye akaunti, kisa tu hawana mahaba naye; hata kama anahitajika bado kwenye timu?

Au wangekaa mezani na kufikia muafaka wa pande mbili, wa kusitisha huo mkataba wao walioingia kwa pamoja?

Naomba majibu tafadhali.
 
huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Ili Feisal kuwepo hapo, ni jitihada zake na pia ni jitihada za klabu ya yanga. Kumpa makocha, facilities na mashabiki wa kumpa hamasa.
Usidharau na kupuuza uwekezaji wa Yanga kwa Feisal, ingawa na yeye ametupa matokeo mazuri.
Kwa hiyo, aondoke sawa lakini kwa utaratibu wa kisheria, na asiporipoti kambini anaweza kufungiwa, kutozwa faini au kudaiwa fidia ya fedha au vyote.
he needs to be careful, Yanga sasa hivi ipo kibiashara zaidi, siyo Yanga ya kizamani.
 
Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.

“Mchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa

Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.

#KitengeSports
Sawa muache akae bila kucheza hadi mkataba wake utakapoisha May 2024
 
Back
Top Bottom