Feitoto kusema anataka mshahara kama wa Azizi Ki! Kiko wapi?

Isolated

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
212
Reaction score
363
Nataka mshahara kama wa Azizi KI, mwenzio dk 20 zimetosha kuamua mechi, Wewe dk 90 zote unaruka ruka kiwanjani!

Kuna msemo wa wahenga usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa

Future yako iko rehani, huko uliko hakuna mashabiki wa kukusifia kama ilivyokuwa ukiwa Yanga, kiuhalisia hukuwa na maajabu😄
 
Kocha hamna hapo Azam,Hana mbinu mbadala dakika tano za Mwisho unapigwa chuma mbili,halafu ushaona wapi mabeki wa Tatu wa kibongo wanakupa ushindi halafu unawaweka benchi kipa wa kimataifa pamoja na mabeki wa Kati wenye uzoefu...halafu utegemee kushinda.

Azam wanapoteza pesa kuleta makocha wasiojielewa timu imezidiwa dakika kuanzia ya 60 na haufanyi sub,unafanya sub dakika za Mwisho ujinga mtupu.

Huyo Dabo hamna kocha kwanza kaingia na uwoga kuweka ulinzi usiokuwa na faida.
 
Mzee Mpili alishafanya yake
 
hana akili,hajasoma,upumbavu wake hajui hata kufuatilia historia,kuna mchezaji aliyetoka yanga na kwenda timu pinzani akakamia kupambana na yanga akafanikiwa?
 
Kwa pira lile la jana Azam bora wangebaki na Ongala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…