Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Alietengeneza hili bango ana chuki binafsi kwa shemeji yetu š¤£
Aziz anayo jeuri ya kuweka meno mapya ya bandia iwapo yale og yatapukutika so mchoraji hajakosea.Hapo amekosea ilitakiwa azizi ki aonekane amebakiwa na jino moja tu.
Mwambieni dogo Ally Kamwe amtafute huyu mchoraji kisha amlipe pesa ndefu achore kibonzo cha RC akimpeleka selo yaani dogo atamaliza kila kitu kwa kumtuliza mzee wa mashati ya ubatizo š¤£š¤£