Feitoto ni mtoro, kwanini TFF haikumuadhibu kwa kosa la utoro?

Feitoto ni mtoro, kwanini TFF haikumuadhibu kwa kosa la utoro?

mo angenunua wachezaji WA maana haya mambo yasinge kuwepo,wanataka vya kunyonga
 
Yanga Kuna watu wenye weledi wewe. Kama wakienda TFF kushitaki maana yake mkataba wa Fei utavunjika na adhabu yake ingekuwa kulipa fidia fulani hivi kisha mchezaji ataondoka na kwenda alikotongozwa. Yanga hawaendi TFF ng'o kudai Fei haonekani kambini. Wachezaji wetu wote tunao, wapo kambini na hatuna shida nao. Mwenye swali aje, tunachotaka CCM ni adhabu kwa wanaowattongoza wachezaji wetu wenye mikataba halali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom