Feitoto yupo sawa kisheria

Huo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.

Unaonekana ww hujaajiriwa.
Kwahiyo walinzi na serikali hawajielewi!!!???kweli nyie utopolo mmechanganyikiwa.....mafala kweli[emoji23]
 
Punguza hasira,haitomrudisha feitoto utopoloni...kuna vingi vimemfanya avunje mkataba mwenyewe kasema moja wapo ni kumvalisha mkoti wa aliyekuwa makamu mwenyekiti na miwani ya kiwewe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wakati wenzako wanasoma Sheria wewe ulikuwa bize kuwinda kware na Baba yako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nyie mafala kweli,sasa munaendankuzungumza na mama yake ndiye mliyesaini nae mkataba?kwani fei ni u18??????huo ndio utopolo sasa......nyani katema bungo
 
Huo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.

Unaonekana ww hujaajiriwa.
Mimi nimewahi kuajiriwa tena kwenye international organizations niliacha KAZI Kwa notice ya masaa 24.

Na mkataba wangu ulikuwa Na hicho kipengele kwenye terminal clauses. Wewe endelea na Ajira za TAMISEMI huwezi kuelewa haya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tofautisha mada wewe bwege,.
Fei Toto amebuy out release clause ya mkataba wake wenye thaman ya milion 112.

Huyo dejan hakubuy alivunja kiholera na Simba waliamua kuachana nae kiustaarabu Kwasababu walikuwa hawana interest nae tena.

Alichokifanya Faisal aliwahi kukifanya neymar kutokea Barcelona kwenda PSG ya France. Alinunua mkataba wake na Barcelona walikuwa wanagoma goma kama Yanga Ila mwisho WA siku walikubaliana Hali

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vizuri. Na hujaegemea upande wowote ule. Good✔️
 
Baada ya kulipa hiyo release clause ya Halland, wakarudisha na mshahara wa miezi mitatu kwa Dortmund?.

Umetolea mfano ambao hata ww hujauelewa.
 
Umemaliza kila kitu ndugu.
 
Baada ya kulipa hiyo release clause ya Halland, wakarudisha na mshahara wa miezi mitatu kwa Dortmund?.

Umetolea mfano ambao hata ww hujauelewa.
Acha ushamba amount ya Release clause inatofautiana kwa kila mkataba, sasa kama ya Fei toto ni kulipa pesa yote ya usajili na mshahara wa 3 months unalia lia nini hapa ?
 
Ndio hawa
Ndio hawajapata chochote kutoka kwa Man City, ile pesa ililipwa na Haaland kisheria sio Man City, Man City hakuwa na mazungumzo yoyote na Dortmund.
 
Waacheni waende CAS waone watakachofanywa, ukiwaambia mkataba haumalizwi kwa sheria za jumla jumla, bali ni specific terms zilizopo kwenye contract hawaelewi, wao wanabisha kwa sababu za kukariri tu, na mahaba.
 
Yanga atoi pesa kama hisani, hivi kama mchezaji mwenyewe ajui thamani yake yanga ifanyeje.. you don't get what you deserve you get what you negotiate. Fei angekaa na uongozi wa yanga wamalizane kama hizi story ni za kweli basi kwenda azam ni kurudisha nyuma career yake
 
Ila Fei kafanya timing mbaya sasa mwache aende kwenye timu ambayo inafurahia kukaa nafasi ya 3
 
Mfano mzuri ni huku maofisini. Kuna kipengele cha mtu kuacha kazi kwa saa 24. Unarudisha mshahara wa mwezi unasepa. Huwezi kusema eti tukae mezani, tukae mezani wakati mimi nimevunja kwa mujibu wa mkataba . Tukae mezani kivipi wewe fala nini
Duuuh!
 
Dejan hakuwalipa Simba hata 100 kilaza wewe
 
Ila Fei kafanya timing mbaya sasa mwache aende kwenye timu ambayo inafurahia kukaa nafasi ya 3
Nafasi haimuhusu fei hata kidogo, fei amengalia baada ya nguvu za kucheza kuisha itakuwaje mustakabali wa maisha yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…