Sawa kila mtu analielewa hilo lakini hata kulipa mshahara mkubwa na maslahi makubwa hakukupi uhakika kwamba badae utaishi maisha poa bali ni akili yako ndo itakufikisha huko.Nafasi haimuhusu fei hata kidogo, fei amengalia baada ya nguvu za kucheza kuisha itakuwaje mustakabali wa maisha yake,
Sawa, lakini fei ameona kwenye 16M anaweza kusave ha 10m akatumia 6m sasa kwenye 4m atasave ngapi? Mpira wenyewe huu ukifikisha miaka 35 ndio basi tenaSawa kila mtu analielewa hilo lakini hata kulipa mshahara mkubwa na maslahi makubwa hakukupi uhakika kwamba badae utaishi maisha poa bali ni akili yako ndo itakufikisha huko.
Kama Ingekua rahisi hivyo, wachezaji wote wazuri toka Yanga wangekua wanaenda Simba au wa Simba kwenda Yanga!Mwanasheria ameeleza vizuri hapo, kwa kuwa bado hujaelewa tukupe mfano mwepesi, Halaand amechukuliwa na City kwa kutumia sheria hiyo hiyo ya Release clause, mkifanikiwa kulipa Release clause hamuhitaji maongezi yoyote ya ziada na team ambayo mchezaji alikuwa anacheza.
Yanga wanune wazile ile Fei toto ndio ameshaondoka kwa pesa ndogo tu sababu ya ubahili wao.
Ni hadi mchezaji akubali Sasa, Sasa hao uliowatolea mfano mishahara yao ni mikubwa kwani unazani fei angekuwa anapokea 15m angehangaika kuvunja mkataba?Kama Ingekua rahisi hivyo, wachezaji wote wazuri toka Yanga wangekua wanaenda Simba au wa Simba kwenda Yanga!
Si unalipa tu Signing fee hata Millions 300 unamchukua Mayele, unalipa tu Signing fee unamchukua Bangala! Hata kama walikua na mkataba wa miaka 3.
Sawa mkuu afanye tu analoona yeyeSawa, lakini fei ameona kwenye 16M anaweza kusave ha 10m akatumia 6m sasa kwenye 4m atasave ngapi? Mpira wenyewe huu ukifikisha miaka 35 ndio basi tena
Kwa maelezo ya yanga mchezaji hana mamlaka ya kuvunja mkataba kama timu haijaridhia, sijajua kwanini waliweka kipengele cha signing fee na 3month salary kurejeshwa, au yanga wanataka waongee nini hasa?Bado mkuu unaongea nadharia hiyo notice alitoa lini?
Mkuu hicho kipande ulichokiona kwa chini pia kuna sehemu inamlazamu mchezaji akitaka kufanya hivo ni lazima atoe notice ya miezi 6 sasa watu tumebase kwenye kulipa mil 112 tu.Kwa maelezo ya yanga mchezaji hana mamlaka ya kuvunja mkataba kama timu haijaridhia, sijajua kwanini waliweka kipengele cha signing fee na 3month salary kurejeshwa, au yanga wanataka waongee nini hasa?
Kipengele 18 (1,2) kinasema kununua mkataba ni kias gani??Nimesikia mwanasheria na uongozi wa Yanga wanasema Feitoto hajafuata utaratibu uliopo kwenye kanuni za FIFA za kuvunja mkataba ambapo mchezaji ili avunje mkataba lazima kuwe na just cause (reasonable cause).
Kitu ambacho tunatakiwa tujue ni kwamba kanuni za FIFA siyo alfa na Omega bali zinatoa minimum standards tu, nadhani wanasheria wenzangu mtakubaliana na mimi, hii ipo hata kwenye sheria za kawaida za kazi hazielezi kila kitu exactly bali zinatoa minimum standards (viwango vya chini) ambavyo havitakiwi kuvukwa.
Kuweka kigezo cha ili upande mmoja uvunje mkataba lazima kuwe na just cause lengo ni kulinda mikataba ya wachezaji ili isivunjwe hovyo, kwakuwa hiyo ni minimum requirement haizuii timu na mchezaji kuboresha na Kuja na terms bora zaidi kwa ajili ya kulinda zaidi mikataba ya wachezaji.
Na katika kufanya hivyo ndiyo maana Yanga na Feitoto katika mkataba wao wakaweka masharti iwapo mchezaji atataka kuvunja mkataba bila sababu ya msingi arudishe signing fees na mishahara ya miezi 3.
Mawakili wa Yanga hawakuweka kipengele hiki kwa bahati mbaya bali lengo lilikuwa ni kuset higher standards than those under FIFA rules ili kulinda maslahi yao kama timu kwa kuzuia mikataba kuvunjwa hovyo. Pia ilikuwa ni higher standard kumpa freedom of movement mchezaji aweze kuvunja mkataba bila kuwa na just cause ila tu kwa kulipa amount fulani ya pesa, favorable terms kwa weak party au zinazoraise standard zinaruhusiwa kisheria
Kwa mujibu wa kanuni za FIFA mchezaji anapovunja mkataba kukiwa na just cause hatakiwi kulipa fidia au pesa ya aina yoyote ile, hivyo kwa tafsiri ya haraka haraka hakukuwa na haja ya kumtaka mchezaji alipe fidia pale anapovunja mkataba for just cause hivyo ni wazi kipengele cha kwenye mkataba wa Yanga na Feitoto kumtaka alipe milioni 112, kililenga kutumika pale anapokuwa hana sababu ya msingi.
Sasa kama mchezaji amefuata mkataba unavyotaka haiwezekani akawa subjected tena kwenye minimum standards za FIFA wakati ametekeleza maximum standards zilizomo ndani ya mkataba.
Mwisho nimeona mwanasheria wa Yanga anasema bado Feitoto ni mchezaji wa Yanga kwa kuwa hajafuata utaratibu, huo ni upotoshaji.
Kwa uelewa wangu wa sheria termination of contract/kuvunja mkataba ni kufanya mkataba ufike mwisho, hata kama itagundulika kwamba Feitoto hajafuata taratibu katika kuvunja mkataba bado haimaanishi mkataba haujavunjika la hasha.
Itakuwa ni unlawful termination ambayo kwa mujibu wa ibara ya 17 ya kanuni za FIFA mchezaji anaweza kupigwa sanctions na Yanga wanaweza kulipwa fidia lakini kanuni za FIFA hazitoi remedy wa kumlazimisha mchezaji aliyevunja mkataba kimakosa kurudi kuichezea timu yake.
Hivyo siyo Sawa kwa mwanasheria wa Yanga kusema Feitoto bado ni mchezaji wa Yanga whether alifuata utaratibu au la katika kuvunja mkataba.
Ndimi Wakili Zawadi B Lupelo
Hakuna mchezaji ambaye hataki kupata pesa, ukiona team inamtaka mchezaji mwenye mkataba means ipo tayari kumlipa zaidi ya kule alipokua, kwani hujawahi kusikia Team zikifungua Mashauri kulalamika team nyingine kuongea na mchezaji wao ingali akiwa na mkataba?Ni hadi mchezaji akubali Sasa, Sasa hao uliowatolea mfano mishahara yao ni mikubwa kwani unazani fei angekuwa anapokea 15m angehangaika kuvunja mkataba?
Unavunja mkataba kama kuna mambo yamekiukwaMazungumzo ya nini kama alishawapa notice before kuvunja mkataba Yanga ndio ilibidi imfuate Feisal kuomba mazungumzo. Hadi amefikia kuvunja mkataba hajakurupuka kuna watu behind walisoma kile kipengele cha mkataba na wakajiridhisha yuko sahihi kufanya kilichofanyika.
Kutoa notice ya mwezi au miezi mitatu kulingana na position uliyopo ni ili usiwaachie/kulipa mshahara wako wa mwezi husika kulingana na siku ya notice.Huo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.
Unaonekana ww hujaajiriwa.
Kaka, Dortmond walikuwa wameamua kumuuza Halaand.Kama wangesema hauzwi wasingebanwana sheria yoyote.Mwanasheria ameeleza vizuri hapo, kwa kuwa bado hujaelewa tukupe mfano mwepesi, Halaand amechukuliwa na City kwa kutumia sheria hiyo hiyo ya Release clause, mkifanikiwa kulipa Release clause hamuhitaji maongezi yoyote ya ziada na team ambayo mchezaji alikuwa anacheza.
Yanga wanune wazile ile Fei toto ndio ameshaondoka kwa pesa ndogo tu sababu ya ubahili wao.
Hakuna mchezaji ambaye hataki kupata pesa, ukiona team inamtaka mchezaji mwenye mkataba means ipo tayari kumlipa zaidi ya kule alipokua, kwani hujawahi kusikia Team zikifungua Mashauri kulalamika team nyingine kuongea na mchezaji wao ingali akiwa na mkataba?
Team zinaweza kufungua majadiliano na mchezaji akibakisha miezi 6 ya mkataba wake.
Ndo nasema ingekua rahisi hivyo team zote kubwa zingekua zinavunja tu mikataba!
Mf. Mchezaji kama Mmakonde yupo Simba kwa mshahara wa 10 millions, Signing fee ya 200 millions, Al ahly wanaenda Simba kuulizia bei ya Mmakonde wanaambiwa anauzwa kwa 600 millions, ya nini walipe 600 millions kumbe wanaweza kumshawishi mchezaji avunje Mkataba kwa 300 millions na ahadi ya mshahara wa 50 millions ambayo hakuna mchezaji Bongo atakataa!
Ndo nasema ingekua rahisi hivyo, tusingesikia Club kubwa zikifata taratibu kununua Wachezaji, zingekua tu zinavunja mikataba kama ilivyo kwa Feisal.
Fifa sio Wajinga, wapo 50% kwa club na kwa Player.
Kuna ukweli ambao Yanga wanausema, na baadhi ya watu hawataki kuusikia.
Siyo kweli,sehemu zote za ajira utaratibu wa 24hrs notice upo.Huo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.
Unaonekana ww hujaajiriwa.
Hicho kipengele sio matakwa ya Yanga, ni Matakwa ya Fifa...!Kuna haja ya kuelewa pia kuwa Yanga waliweka kipengele cha kuvunja mkataba kwa EXTRAORDINARY STYLE, ambayo ndo watu wamepenya hapo. Walijiwekea panga shingoni wenyewe. Soma kipengele chao namba 14 (14.7)
Hapo ndo wanasheria wa Yanga wanapobebeshwa zigo hili.
Hakuna ushahidi kuwa Azam waliongea na mchezaji kabla hajavunja mkataba.Hicho kipengele sio matakwa ya Yanga, ni Matakwa ya Fifa...!
Ila ikitokea hivyo Team na Mchezaji wanakaa Mezani.
Azam wamefanya Uhuni, kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kufata taratibu.
Ni kosa kwa Sheria za fifa na tff kwa team kuongea na mchezaji mwingine angali ana mkataba na team yake, na Yanga wakikomaa Feisal hatacheza mpira mpaka 2024 otherwise Azam akubari kukaa Mezani na Yanga.
Kipengele 14.7 kinaelekeza kutimiza 2.3 na hakijasema mkae mezani.Hicho kipengele sio matakwa ya Yanga, ni Matakwa ya Fifa...!
Ila ikitokea hivyo Team na Mchezaji wanakaa Mezani.
Azam wamefanya Uhuni, kuongea na mchezaji mwenye mkataba bila kufata taratibu.
Ni kosa kwa Sheria za fifa na tff kwa team kuongea na mchezaji mwingine angali ana mkataba na team yake, na Yanga wakikomaa Feisal hatacheza mpira mpaka 2024 otherwise Azam akubari kukaa Mezani na Yanga.
Hakuna ushahidi kuwa Azam waliongea na mchezaji kabla hajavunja mkataba.
Alieandika barua ni mchezaji na aliyedeposit hela ni mchezaji. FIFA hawajasema seal ya extraordinary kuvunja mkataba ulipe 100,000,000/= tsh na mshahara wa miezi mitatu ni Yanga waliweka bila kuangalia athari kwenye thamani ya mchezaji.
Narudia tena, fifa sio Wajinga Mkuu, mambo hayo yametokea sana hapo nyuma ndo maana fifa ikaweka kipengele cha kuvunja Mkataba kwa pande zote mbili.Kipengele 14.7 kinaelekeza kutimiza 2.3 na hakijasema mkae mezani.
Hakuna ushahidi wowote kuwa Azam waliongea na mchezaji kabla ya yeye kuuvunja mkataba. Labda kama upo uulete.