FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 723
Ah wewe utakuwa walewale..Birds of same flock...Sasa ivi nachanga ela ya college ya kabinti kangu, nakiwekea mikakati kakasome mbali kabisa huko na mafisimaji kaa nyinyi..hamkatongozi ng'o!
Kama wewe ni mmoja wetu (great thinker) utanielewa kama sio hutoelewa milele.
Barongo hafundishi somo moja pekee kwa wanaochukua masters pale, hivyo basi uwezekano wa kusema anafelisha inakuwa na nafasi FINYU.
Hebu fikiria Human resources ina waalimu watatu barongo akiwa na asilimia 33% ya wewe kufaulu, hapo anakuwa na uwezo gani wa kukufelisha?
Pili chuo cha Dar cha Mzumbe kwangu naona kama ni biashara maana kina wanafunzi wengi saaaana kiasi kuwa hamjuani ndani ya kozi moja, Yaani kama ni MBA kuna wanaoingia asubuhi wanaoingia mchana na wanaoingia jioni. Jamani kwa hapo Barongo atakujuaje hata JINA????
Hebu acheni kufikiria shallow. Hao wanawake wenu hawana akili na wanajipeleka wenyewe. Waliwe tu maana ni wajinga.
Degree za chupi zipo vyuo vingi sana Tanzania. Hili la kumlaumu Barongo sikubaliani nalo.