Felician Barongo wa Mzumbe University

Ah wewe utakuwa walewale..Birds of same flock...Sasa ivi nachanga ela ya college ya kabinti kangu, nakiwekea mikakati kakasome mbali kabisa huko na mafisimaji kaa nyinyi..hamkatongozi ng'o!

Kama wewe ni mmoja wetu (great thinker) utanielewa kama sio hutoelewa milele.

Barongo hafundishi somo moja pekee kwa wanaochukua masters pale, hivyo basi uwezekano wa kusema anafelisha inakuwa na nafasi FINYU.

Hebu fikiria Human resources ina waalimu watatu barongo akiwa na asilimia 33% ya wewe kufaulu, hapo anakuwa na uwezo gani wa kukufelisha?

Pili chuo cha Dar cha Mzumbe kwangu naona kama ni biashara maana kina wanafunzi wengi saaaana kiasi kuwa hamjuani ndani ya kozi moja, Yaani kama ni MBA kuna wanaoingia asubuhi wanaoingia mchana na wanaoingia jioni. Jamani kwa hapo Barongo atakujuaje hata JINA????

Hebu acheni kufikiria shallow. Hao wanawake wenu hawana akili na wanajipeleka wenyewe. Waliwe tu maana ni wajinga.

Degree za chupi zipo vyuo vingi sana Tanzania. Hili la kumlaumu Barongo sikubaliani nalo.
 
Kama wewe ni mmoja wetu (great thinker) utanielewa kama sio hutoelewa milele.
Great-thinker is a political motto, a mere self-claim which is not supported within any proven premises. Ok endelea/
Barongo hafundishi somo moja pekee kwa wanaochukua masters pale, hivyo basi uwezekano wa kusema anafelisha inakuwa na nafasi FINYU.

Hata kama ni finyu, nafasi IPO au HAIPO??
Hebu fikiria Human resources ina waalimu watatu barongo akiwa na asilimia 33% ya wewe kufaulu, hapo anakuwa na uwezo gani wa kukufelisha?
Enzi zile tunasoma akina sie, ku-clear yaani kuipata above 40(C) ilikuwa ni manati kwelikweli, seuze kuikosa hiyo 33%. Hivi we wa wapi?

Duh, we ni mwanaume au mwanamke?? Kama ni mwanamke siezi kukulaumu. Wanaume tuna moyo wa simba mwindaji mwenye njaa kali na moyo wa kutafuta, tupo radhi kumfukuzia swala at any cost, na simba mwindaji haachi kitoweo akiacha ujue kwamba mbinu zote zimeshindikana au kitoweo ni kimeo..

Hebu acheni kufikiria shallow. Hao wanawake wenu hawana akili na wanajipeleka wenyewe. Waliwe tu maana ni wajinga.
.

Typical great stinking + Oxymoron-ism

Degree za chupi zipo vyuo vingi sana Tanzania. Hili la kumlaumu Barongo sikubaliani nalo.

Labda niulize tu vile unavoona. Je, unavoona Degree za chupi ni tatizo au sio tatizo?? Maana nakuona unakubali na kukataa at the same time.
 
Mmmh kusema Mzumbe chuo cha magumashi nakataa kama tunaweza ku-compete na hao waliomaliza vyuo vingine basi sio vilaza sie tuliosoma pale. Huku kwenye soko la ajira halitegemei wewe umemaliza wapi, huku inategemea wewe uta-deliver?acha hizooooooooooo. Mtu anaweza hata soma Havard na bado akashindwa ku-deliver. Jamani hapo Mzumbe walimu wanafundisha swala la kuelewa na kufaulu ni la mwanafunzi mwenyewe.
 
Kweli nin hatari hali hii ipo kwenye idara zote na kila sehemu, vyuo UDSM, UDOM, SUA and Mzumbe hivyo kuwa na hali kama hii kwa madada ni kikwazo kikubwa sana
 
Wanaume wapo hila inavyoonyesha huwa anawafanyia makusudi tu wanawake hasa wale ambao anakuwa anataka kuwafanyia huo ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…