wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
unakumbuka madini 2 trucks toka rwanda yalikwama for 3 months uganda ,sababu ni hiyo (tracebility)
Sababu iliyofanya Felix kuja rwanda ni kuwa Kenya ndio nchi ya EA ambayo hawachangii boda iko mbali
Ushawishi wa Tanzania kwa drc upo mioyoni mwa wakongoman
Pia amani ya congo inategemea saana sera za Tanzania na Angola
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania na Angola ziko sadc Drc haiwezi kuwa Sadc so EAC iko even more close,but about congo kupenda wa Tz hio sidhani,juu wengu wako Kenya kuliko Tz,if thats the case wengi wangekuwa hukoSababu iliyofanya Felix kuja rwanda ni kuwa Kenya ndio nchi ya EA ambayo hawachangii boda iko mbali
Ushawishi wa Tanzania kwa drc upo mioyoni mwa wakongoman
Pia amani ya congo inategemea saana sera za Tanzania na Angola
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio uzembe ndo inafanya sadc iwapende trust mi mkianza kuwa aggressive sadc wataanza kuwatenga ,wanawapenda juu hauezi chukia mtu unamtumia hata afadhali EAC amtumiwiTanzania inapendwa saana congo na sadc yote bt uzembe wa viongozi watz kutoitumia hiyo nafasi kibiashara ndio ilikuwa kikwazo lkn magu ameligundua hilo
Alafu inaonekana kama vile jiwe yupo beneti saana na dstv
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia ya sadc na Tanzania ni pana saana hawana jeuri ya kuikacha tanzaniaHio uzembe ndo inafanya sadc iwapende trust mi mkianza kuwa aggressive sadc wataanza kuwatenga ,wanawapenda juu hauezi chukia mtu unamtumia hata afadhali EAC amtumiwi
Tanzania na Angola ziko sadc Drc haiwezi kuwa Sadc so EAC iko even more close,but about congo kupenda wa Tz hio sidhani,juu wengu wako Kenya kuliko Tz,if thats the case wengi wangekuwa huko
Lakini hakuna aja ukae penye haufaidiki najua history muhimu sana n thats why SA na kenya hawapatani juu ya history yetu na ndio maana waethiopia watapenda kenya for a long time n.viceversa juu ya history but hio haimaanisha ati wawatumie venye wanataka juu ya historyHistoria ya sadc na Tanzania ni pana saana hawana jeuri ya kuikacha tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Eej sikujua unajua sijui alot about Congo apart from wanapenda rumba,but maybe shida ni maybe huyo prezzo wa congo hapendi ********Kwanza drc ni mwanachama wa sadc
Wakongo Tanzania ni wengi mno na wamejazana kwenye mziki wa dance na kazi za saluni
Sent using Jamii Forums mobile app
@Huyo bichwa maji kaitwa mpuuzi kwa mambo yafatayo
@Kuwasaliti upinzani wenzake
Kuwa kibaraka wa kabila(hakuna asiyejua sio mshindi halali)
@
Kituko zaidi ni kuwalipa mawaziri wa kabila mpaka kifo chao aliakuwa nchi yenyewe ni maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Faida ni ndogo coz tz bado wapi nyuma kiviwanda lkn now wameanza kufungukaLakini hakuna aja ukae penye haufaidiki najua history muhimu sana n thats why SA na kenya hawapatani juu ya history yetu na ndio maana waethiopia watapenda kenya for a long time n.viceversa juu ya history but hio haimaanisha ati wawatumie venye wanataka juu ya history
Binadamu wana roho mbaya sana, yaani kiongozi yeyote anayechagua AMANI wanamuita “KIBARAKA” yaani mlitaka mapigano na fujo DRC ziendelee?! Kudos Tshekedi.
Asimpende magu kwa lipi sasa?Eej sikujua unajua sijui alot about Congo apart from wanapenda rumba,but maybe shida ni maybe huyo prezzo wa congo hapendi ********
Good for you,but EAC is more better huko nyi ni underdog mbaya,hao wasee wanawapenda juu ya u softi yenu,in short day mtakuwa wakali watawaacha ,Kenya haijaitambua SA toka kitambo n hio staff bdo inaendelea hadi sai ,its easier for a tz to go to SA than a kenyan na pia si easy SA kukam kenya juu ya history sijui walikuwa wanataka tusome nelson mandela by force na sisi hatukutaka nini,but thats also one of the issue ya enemityFaida ni ndogo coz tz bado wapi nyuma kiviwanda lkn now wameanza kufunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha chocha nayo,kwani you have a politicall history ?ka kenya na ethiopia,juu history yetu ni very deep yaani Ethiopians wanatupenda kuliko how Tz n UG combined wanavyotupendaAsimpende magu kwa lipi sasa?
Unapozaliwa congo direct unaipenda tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi night bt ilikuwa ni siriFelix ameenda Rwanda lini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fafanua kidogo chanzo wakenya kupendwa na ethiopiaHahahaha chocha nayo,kwani you have a politicall history ?ka kenya na ethiopia,juu history yetu ni very deep yaani Ethiopians wanatupenda kuliko how Tz n UG combined wanavyotupenda
Ni history tu kati ya kenyatta na haille Selassie,ethiopia walisaidia sana maumau ndo tukapata independence na pia kenya iliwahelp time yenye Italy ilitaka kuinyakua,n btw Jomo n sellasie were bestfriends hakuna mtu hajui hio,wali sign.treaty that siku yeyote kenya itaitaji usaidizi ethiopia watatusaidia n viceversa but sana sana in terms of war,n uhuru akiwa huko pia akai renew tena n i think hio treaty walisign.1964 ebu sasa imagine
Ni same na nyinyi heard mulisaidia SA kupata independence but Kenya walijitenga SA ikasema ati kenya walikuwa wana support wazungu na apartheid i endelee n pia before that kulikuwa tu na issues na mandela na visits zake kenya,so hio inafanya sana.SA na kenya kutoelewana mpaka wa leo,so history ni muhimu,ndo maana south wanawapenda sana lakini sa ingine wanawatumianga vibaya
Buda if ******** hapendi kenya ni yy pekee we got many head of states wenye wanapenda kenya Kuanzia rwanda to Ethiopia n btw mbna asikuje huku na tumeweka watu wengi wa congo huku wenye walikimbia kwao juu ya violence hata ka hawatusaidii kiuchumii tunawapenda tu wakiwa ma refugees
Sent using Jamii Forums mobile app