Félix Tshisekedi

Félix Tshisekedi

unakumbuka madini 2 trucks toka rwanda yalikwama for 3 months uganda ,sababu ni hiyo (tracebility)

Sure zilikwama lkn ni kutokana na mahusiano mabovu yaliyoko kwa sasa kati ya Kampala na Kigali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sababu iliyofanya Felix kuja rwanda ni kuwa Kenya ndio nchi ya EA ambayo hawachangii boda iko mbali

Ushawishi wa Tanzania kwa drc upo mioyoni mwa wakongoman

Pia amani ya congo inategemea saana sera za Tanzania na Angola

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania na Angola ziko sadc Drc haiwezi kuwa Sadc so EAC iko even more close,but about congo kupenda wa Tz hio sidhani,juu wengu wako Kenya kuliko Tz,if thats the case wengi wangekuwa huko
 
Tanzania inapendwa saana congo na sadc yote bt uzembe wa viongozi watz kutoitumia hiyo nafasi kibiashara ndio ilikuwa kikwazo lkn magu ameligundua hilo

Alafu inaonekana kama vile jiwe yupo beneti saana na dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio uzembe ndo inafanya sadc iwapende trust mi mkianza kuwa aggressive sadc wataanza kuwatenga ,wanawapenda juu hauezi chukia mtu unamtumia hata afadhali EAC amtumiwi
 
Historia ya sadc na Tanzania ni pana saana hawana jeuri ya kuikacha tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hakuna aja ukae penye haufaidiki najua history muhimu sana n thats why SA na kenya hawapatani juu ya history yetu na ndio maana waethiopia watapenda kenya for a long time n.viceversa juu ya history but hio haimaanisha ati wawatumie venye wanataka juu ya history
 
@Huyo bichwa maji kaitwa mpuuzi kwa mambo yafatayo

@Kuwasaliti upinzani wenzake

Kuwa kibaraka wa kabila(hakuna asiyejua sio mshindi halali)

@
Kituko zaidi ni kuwalipa mawaziri wa kabila mpaka kifo chao aliakuwa nchi yenyewe ni maskini



Sent using Jamii Forums mobile app

Binadamu wana roho mbaya sana, yaani kiongozi yeyote anayechagua AMANI wanamuita “KIBARAKA” yaani mlitaka mapigano na fujo DRC ziendelee?! Kudos Tshekedi.
 
Lakini hakuna aja ukae penye haufaidiki najua history muhimu sana n thats why SA na kenya hawapatani juu ya history yetu na ndio maana waethiopia watapenda kenya for a long time n.viceversa juu ya history but hio haimaanisha ati wawatumie venye wanataka juu ya history
Faida ni ndogo coz tz bado wapi nyuma kiviwanda lkn now wameanza kufunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida ni ndogo coz tz bado wapi nyuma kiviwanda lkn now wameanza kufunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you,but EAC is more better huko nyi ni underdog mbaya,hao wasee wanawapenda juu ya u softi yenu,in short day mtakuwa wakali watawaacha ,Kenya haijaitambua SA toka kitambo n hio staff bdo inaendelea hadi sai ,its easier for a tz to go to SA than a kenyan na pia si easy SA kukam kenya juu ya history sijui walikuwa wanataka tusome nelson mandela by force na sisi hatukutaka nini,but thats also one of the issue ya enemity
 
Fafanua kidogo chanzo wakenya kupendwa na ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni history tu kati ya kenyatta na haille Selassie,ethiopia walisaidia sana maumau ndo tukapata independence na pia kenya iliwahelp time yenye Italy ilitaka kuinyakua,n btw Jomo n sellasie were bestfriends hakuna mtu hajui hio,wali sign.treaty that siku yeyote kenya itaitaji usaidizi ethiopia watatusaidia n viceversa but sana sana in terms of war,n uhuru akiwa huko pia akai renew tena n i think hio treaty walisign.1964 ebu sasa imagine
 
Fafanua kidogo chanzo wakenya kupendwa na ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni same na nyinyi heard mulisaidia SA kupata independence but Kenya walijitenga SA ikasema ati kenya walikuwa wana support wazungu na apartheid i endelee n pia before that kulikuwa tu na issues na mandela na visits zake kenya,so hio inafanya sana.SA na kenya kutoelewana mpaka wa leo,so history ni muhimu,ndo maana south wanawapenda sana lakini sa ingine wanawatumianga vibaya
 
Buda if ******** hapendi kenya ni yy pekee we got many head of states wenye wanapenda kenya Kuanzia rwanda to Ethiopia n btw mbna asikuje huku na tumeweka watu wengi wa congo huku wenye walikimbia kwao juu ya violence hata ka hawatusaidii kiuchumii tunawapenda tu wakiwa ma refugees

Sent using Jamii Forums mobile app


ah ah Bro that is not fair to call our leader ni fool !! and who told you that Mr.President he doesn't love Kenya ? unajua kama Raila ni best friend wake kitambo !!!
 
Lile la Kulipa Mawaziri Milele nimeshangaa kweli hivi Hiyu Felix Kumbe hamnazo??? Yaani ulipe mijitu kama Lambert Mende milele???
 
Back
Top Bottom