Female Genital Mutilation (FGM) kwa kina

Nawaageni kwa kuwaambia yafuatayo.

PASAKA= Kwa lugha nyingine ni pass over, yaani malaika mharibifu akifika kwa wana wa israel, akisha kuona damu ya mwana mbuzi mlangoni, anapita mbali kwenda nyumba ya jirani asiye na damu hiyo, kuua mzaliwa wa kwanza wa kila kiumbe.

Waisrael waliagizwa kila mwaka wawe na sikukuu ya kukumbuka tukio hilo ambalo kwa wao ilikuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya farao, walikombolewa.

Meza ya Bwana, ni utaratibu aliouanzisha YESU KRISTO, ili kupitia tukio hilo tukumbuke kukombolewa kwetu, kupatanishwa kwetu na Mungu kupitia yeye. Aliagiza ifanyike kila tukutanapo (yaani kila siku ya kwanza ya juma tunapokutana kwa ajili ya ibada) kwa ukumbusho wake.

similarities.
1. zote zimeanzishwa na Mungu kupitia mitume wake.
2. Zote zinalenga kuwakumbusha wanadamu walivyokombolewa.

differences.
1. PASAKA inawahusu waisrael tu, Meza ya Bwana inawahusu wanadamu wote waliookolewa yaani WAKRISTO.
2. PASAKA ilifanyika mara moja kwa mwaka, MEZA ya BWANA hufanyika mara 52 kwa mwaka, yaani kila siku ya kwanza ya juma lazima wakristo wakusanyike ili kuumega mkate.

HITIMISHO.

Tumerithi dini zetu toka kwa babu zote. Ni vema sasa kila mtu akaanza safari ya kuijua kweli kwa kuyachunguza na kuyasoma kwa kina maandishi ya biblia. Siyo kila ulilorithishwa na wazazi wako ni jema. Soma, uliza na chukua hatua ili kumtumikia MUNGU katika roho na kweli.

Jumapili njem,a waungwana.
 
King'a, nilisahau kusema ni zamani nilipokuwa kijana!, siku hizi ni jioni, niko kwenye za kiutu uzima, zile one night stop sipati pati sana!. Size na stamina doesn't matter much!, kule kuna elasticity ya kuaccomodate any size, any length (save for extra ordinary ambalo ni tatizo), wala sio stamina, bali technics tuu. Ningekuwa Waziri wa ustawi wa jamii, ningelazimisha kila mwanaume asome "kama sutra" na "love without fear!" ili kila mwanamke "afikishwe!". Tena kwa nyinyi wenye bahati ya kufika, mnadhani wale wenzenu wasifika "are missing a lot!, no!, "you can never miss something you never had!", kama wanawake wote wangekuwa waaminifu, 100% hata kwa kutofika, anaenjoy tuu mpaka hapo hapo anapoishia, na anajua ndio mwisho wake!, haya mambo ya kuchepuka, ndiyo haya ya kuja kutafutana asubuhi subihi, kisa ati "nimemdrop airport!" "siwezi kufanya chochote mpaka...!". Unamuuliza can't you thing of me!, mimi ni family man, japo single father, I have kids with me!, unakujaje saa 12:asubuhi!, ati najua school bus zote zinapita saa 11 hivyo nilijua watoto wameishakwenda shule, hivyo nimekuja kuku surprise na zawadi!.

Mambo mengine wee acha tuu tena wake za watu ndio balaa!.

Pasco.
 
Hapana kaka. Im very rational with my choices. Mfano kwetu kuna mila ya kutupa porini mtoto anaetanguliza jino la juu na kamwe siwezi kusupport hiyo. Kuna baadhi ya vitu sivikubali pia na niko wazi.
Huwa naangalia documentary inaitwa taboo. For the sake ya urembo kuna makabila huko papua new guinea wanachanjwa viwembe mwili mzima na kuwa na makovu kama mamba. Ati ni ujasiri. Aisee. Saa zingine wazungu hawatuonei banaa.
 
nimezipenda hizi
[/B]
 

for sure kwa mwanaume ukimkata kichwa umeuwa simba mwituni. hutasikia ngurumo tena. sasa king'asti japo nakubaliana na wewe pia kuwa kichwa huwa kinatumika kama mbadala wa clitoris kwa wale ''artificial women''. lakini niliskia size zao(artificial women) huwa hazitanuki kama zile za natural women sasa sijajua kama clitoris inasaidia kutanuka mbona kwa artificial women haiwasaidii?.
 

Usije ukasahau hao unaoita artificial women hawahitaji kutanuka kule kwa ajili ya kuzaa. Sex change yoyote haihusishi gender roles. Ni ukatili usio na sababu. I would do it kama ingekuwa for medical benefits
 

sure, hata mimi nakubaliana na wewe wanawake wanaasili ya kuaminishwa na kukubali huku wakifurahia. ni kama hii asili ya kuoa wake wengi.utaona wanawake wanaiona kama jambo la kawaida wakati kwa wazungu huu ni unyanyasaji wa mwanamke.na hii hali ya kuaminishwa na kufurahia ni ya kisaikolojia tu. bali haina uhalisia. nadhani kama kazi ya clitoris ni kutoa utamu basi isiondolewe ili mambo yawe byebye. kuliko kulishana furaha za kisaikolojia wakati in reality hakuna. na kuhusu kuwa inapunguza umalaya, hii haina ukweli iwepo isiwepo umalaya ni pi(pai) kwa mhusika.aritdhike asiridhike haibadilishi hulka yake ya umalaya.
 

Kama wazijua vizuri faida za kumtahiri mwanaume, ndizo faida kwa mwanamke.
 
Last edited by a moderator:

Gakato u have made ma da with your narrative attributes of the rationale behind women cirmcission. Unfortunately jambo hili lilibakwa huku watu ambao wangeweza kulitetea wakichekelea ambao ni wasomi.

Kwa taarifa tu ni kwamba 70% ya wazungu wa kike wametahiriwa.
 

Thanx mkuu
 
mnapoongelea kanda ya ziwa naomba muondoe wasukuma, maana sie hatupunguzi kitu chochote iwe wanamme au wanawake.
Tunafurahia uumbwaji wetu.

Wahaya nao hawatahiri wanawake, tena wao wanavuta ziwe ndefu.

 

Kkaaa!!! Mambo ya antena tena wakati dunia sasa hivi inaongelea digitali! Lol
 
Pasco.... Wee mbayaa!
Sisi Wasukuma wa zamani, bangi ilikuwa ni sehemu ya stimulants za kupiga jembe siku nzima, toka saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, na hakuna watu waliokuwa wanawehuka!. Wanaume wa Kisukuma baada ya kupuliza, na ule ugali mlima!, usiku ni gwaride usiku kucha!, 7 days a week!, 4 weeks a moth!, (save for only those days)!, hivyo ni mke wa Kisukuma anakusisitizia mtafutie wenzake wasaidiane!, hivyo angalau watatu wanne, wapokezane, vinginevyo mwenyewe atajifia!, na kwa wenye uwezo, hadi wanawake 20!. That was then, is this valid for now?!. Hivyo hizi mila zife kwa invalidity na sio kwa kubezwa na wazungu!. Sisi Wasukuma wa leo, ni mke mmoja tuu, labda na vidumu vya hapa na pale kubadilishia mboga tuu!.
 
Kama wazijua vizuri faida za kumtahiri mwanaume, ndizo faida kwa mwanamke.

hamna faida ya kumtahiri mwanaume, unless ngozi yake ina matatizo ya kurudi nyuma na kumsababishia maumivu (phimosis). CIRCUMCISSION IS UNNECESSARY FOR ANY GENDER. Watu walikuwa wanatupa mtoto akizaliwa kilema/albino. Si mila zote za kufuata.
 

REALY? Wazungu wa wapi?
 

Kalikenye, this is a fascinating observation I didnt know, JF ni kisima cha elimu kila siku...Mimi nimetoa haya tu kutokana na kusoma kidogo tu articles; acha nisome kuhusu wazungu pia. Very many thanks for your contribution
 
mnapoongelea kanda ya ziwa naomba muondoe wasukuma, maana sie hatupunguzi kitu chochote iwe wanamme au wanawake.
Tunafurahia uumbwaji wetu.

Wahaya nao hawatahiri wanawake, tena wao wanavuta ziwe ndefu.
nimecheka kweli.nashukuru yangu ipo maana inanipa raha ya kipekee.na nisingekuwa nayo,ningeona kama nimeonewa.hatuna utamaduni wa kuikata
 
Mkuu Ntama, hilo la tabia, nakubaliana na wewe, ndio maana wanawake wa ukanda wa pwani wakiwemo Wazaramo, wanachezwa ngoma kufunzwa ma utaalamu!, akishailewa, na kumuonyesha mumewe ubingwa, anakosa raha kama ubingwa wake utajulikana na mtu mmoja tuu!, sasa wengine watamjuaje kuwa yeye ni bingwa!, ili kujenga heshima kwa mumewe, aheshimiwe na majirani wote kuwa kaoa bingwa!, huyo mwanamke atafanya juu chini, mpaka awaonjeshe majirani wote, ili akipita, asifiwe, "yule sii mchezo!", na huku mumewe akisifiwa "kapata kweli!"

Baadhi ya makabila kama Wahaya, wao wanavutwa tangu wadogo, hivyo saa zote kinatekenya na wanataka wakati wote, na popote tena bila aibu yoyote!. Wachagga wamefunza hiyo ni dhambi hivyo kuwajengea "inhibitions!" kiasi kwamba kwa kuenjoy ni nadra kwa sababu wanajua wanafanya dhambi, na wengi hata wakiolewa hizo inhibitions zinaendelea, japo mbege inasaidia kidogo kuzipunguza!. Mmasai kafanyiwa na kafunza hii ni kwa fulani tuu and only fulani na rika lake!. Sijawahi kukutana na pros wa Kimasai!, hata A Town, wanaojiuza wote ni makabila mengine, Wamasaini kwao No!.

Wakati FC imesaidia wanawake wa Kimasai kuwa na very big self control, its vice versa kwa wanawake wa Kimbulu, Nyaturu, Rangi na Wagogo, wote hawa wanafanyiwa, ila ukigusa tuu!, twende!. Hii inatokana FC kufanywa tofauti tofauti kati ya kabila na kabila, ila pia mafunzo, mila, desturi na tamaduni za hao wanaofanyiwa FC, kwa sababu hata baadhi ya Wamasai wa kisasa, waliosoma, hawawafanyii watoto wao FC lakini bado wametulia!.

Kwa wale wanawake ambao hamjafanyiwa, msiwadhanie waliofanyiwa wana miss anything, kwa sababu "you can never miss what you never had!", by the time wanajigundua kuwa walifanyiwa, zile sensetion za clit, zinakuwa zimeshahamia ndani, hivyo usikute wana enjoy kuliko hata nyie ambao hamjafanyiwa!.
Pasco.
 
Kalikenye, this is a fascinating observation I didnt know, JF ni kisima cha elimu kila siku...Mimi nimetoa haya tu kutokana na kusoma kidogo tu articles; acha nisome kuhusu wazungu pia. Very many thanks for your contribution

Kinachoenezwa na wazungu hakina lengo lingine isipokuwa ni cultural colonialism. Believe WC haina athari zaidi ya faida za kumuweka mbali mwanamke na athari za kansa ya kizazi pamoja na magonjwa mengine ya zinaa. Na hiyo ndo essence ya wazungu kufanya WC. Nenda Nordic countries ujionee ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…