Female Genital Mutilation (FGM) kwa kina


Data kutoka wapi mdau? Usiharibu mada kishabiki.
 
Kwa taarifa tu ni kwamba 70% ya wazungu wa kike wametahiriwa.
Mkuu Karikenye, utakuwa umeichanganya FC na Deflowering!, wazungu wengi haswa wa nchi za Scandnavia, wanafanyiwa "deflowering!" (kuondolewa bikra), hospitali na sio kusubiri kufanyiwa na ile kitu!. Hii imapelekea sex kwenye nchi hizo is not a big deal!. Nenda Stockholm, adult magazine, zinauzwa openly mchana kweupe na kwenye supper markets.

Nikiwa Sweden, niliishi nyumbani kwa Mtanzania fulani, mtu wa familia!, nyumba yake ilikuwa kubwa, nami niliishi guest wing!. Usiku wa saa 6, mke wa mwenyeji wangu alinigongea room kwangu kufungua, amevaa semi transparent night dress(kiukweli ni kama hajavaa nguo!, eti amekuja kuniuliza kama nimepata channels zozote za kuzifurahia kwenye TV zao. Kiukweli nilisearch mapema nikakuta channel nyingi ni za ki Sweedish!, nikaweka miziki nikajilalia, hivyo nilipogongewa, niliamka, ndipo nikamwambia sikuona channel nzuri!.

Akaichukua remote na kunionyeshea channels za English kisha akaniambia huku nu ulaya, ukitaka kuangalia hata mambo haya, huku unaangalia tuu hakuna siri!, aka switch adult stuff!. Du!, nikashangaa adult free to air!, ndipo akaniambia hivyo ni cable, ina child lock hivyo watoto hawaoni, ila baada ya saa 6:00 usiku, inakuwa free to air mpaka saa 10 alfajiri!. Nikauliza vipi kuhusu watoto?, nikajibiwa watoto kule ni under 14!, ni jukumu la mzazi kuhakikisha by saa 6 usiku, under 14 wote wamelala, from 15 wao ruksa kuangalia!. Wazazitalks to their kids about sex, msichana akitimiza miaka 15, wazazi wake wanampeleka hospitali kumuondoa bikra ili asijeumizwa!, na anafunzwa A-Z about sex ikiwemo kuruhusiwa kumleta boyfriend nyumbani!.

Sio siri nilijihisi kuogopa, mama mke wa mtu, room kwangu saa 6 usik ameniwekea blue channel!, akaniambia usiwe na wasiwasi, siku mkuu wa nchi (by then Mkapa alikuwa ziara Sweden) akiwa hapa, Mzee huwa halali kabisa nyumbani!, huja asubuhi kubadili tuu nguo!. Nikimuangalia, huku naangalia TV, ukijumlisha na ile dress code!, Ibilisi alitaka kunipanda!, thank God roho wa Mungu, akaniingia na kukumbuka fadhila!, aliyenileta pale ni mumewe!, kula bure, kulala bure!, mbona mkewe anataka kunitia majaribuni?!. Na sio siri, sisi wengine dhaifu!. Nikapiga konde na kumwambia asante kunionyesha chaneli, na kumwish good night!, akaondoka huku kama amechukia fulani!. Na tangu siku ile, ukarimu na hospitality zilikoma!.

Tena kwa kabila la huyo mama, na umri wake!, itakuwa ni miongoni mwa waliofanyiwa FC, hivyo mume hayuko home usiku mmoja tuu!, alitaka!, how about hao wafungaji wanaikuwa kwenye malisho miezi 6 hadi mwaka?!.

Pasco.
 

afadhali umeanza kutoa majibu ya kweli mkuu Pasco lkn isije kuwa umetaja kile ninachokifikiria.

cc. King'asti
 
I see
Natamani kupata mwanamke aliyefanyiwa FC nimuulize maswali yaangu.
 
Hahahaa. Mie nimekoma na huu uzi. Pasco hiyo ya kuwadolishia marafiki na majirani wa mume juu ya ubingwa nimeipenda haswaa. Ngoja niifanyie kazi. Usikute wakiniona wananiona wa juzi buree.

Ni kweli maadili na hofu mtu aliyojengewa na walezi waje juu ya kujamiiana ndo inayopelekea tabia yake. Wengine tulifunzwa kuwa hata kujichungulia tu ni dhambi! Achia mbali kujishika. Lol. Kiasi kwamba hata kwenda hospitali kufanya pap smear ni mtihani manake unaogopa kusaula!

Huyo wa sweden nae alikuwa ana yake tu. Afadhali ulikumbuja fadhila. Kuna ambavyo haviliki aisee.
 
Last edited by a moderator:
FGM haiwezi kutunika sasa kama njia ya kumfanya msichana/mwanamke asiwe na hamu ya kufanya ngono,may be zamani ilisaidia lakini sasa ugumu wa maisha mwanamke anafanya umalaya siyo kwa sababu anahamu ya kufanya ila kwa sababu anahitaji pesa ya sabuni,anahitaji kuwa na simu nzuri kama wenzie,anahitaji kuvaa vizuri kama wanavyovaa wenzake,anataka kujionyesha kwa wenzie kwamba anamtu fulani wa status ya juu nk.

Ila mimi bado sikubaliani kuondoa clitoris maana wakati mwingine siyo clitoris tu na labia wanaondoa na kushona na kuachia sehemu ya kutolea mkojo,kila kitu alichoweka Mungu kwenye mwili wa mwanadamu kina maana sana na kina kazi yake kukitoa madhara lazima yawepo tuwe tunayajua au hatuyajui,tukubaliane au tusikubaliane madhara yapo ila mtu kikishatolewa ili asionekane amepungukiwa kitu atakuambia sioni shida yoyote maana anajua hata akikuambia kuna shida huwezi kurudisha clitoris yake.

Pia kusema ilifanywa na wafugaji kwa vile waliwaacha wake wao siku nyingi sioni kama kuna ukweli nafikiri miongoni mwa makabila yanayo ongoza kwa ufugaji ni wasukuma mbona wanawake wa kisukuma hawakuwa wanatahiriwa? tena siyo wanawake tu hata wanaume wengi waliosoma shule wametoa baada ya zomea zomea mashuleni,je wameru,wanyaturu,wachaga walikuwa wafugaji labda zamani za kale ndo wakawa wanafanyiwa kitu hii?
 
Imekuwa kawaida yetu kuendesha mambo kinadharia zaidi.

Kwanza,si kweli kwamba wanawake waliofanyiwa hivyo si vicheche.Na kama iko hivyo,kumbe haiondoi sexual drive.

Pili,ni hadi tupate takwimu sahihi juu ya vifo vya akinamama wakati wa kujifungua,ndio tutaweza kuona ikiwa hii kitu ina madhara wakati wa kufungua.

Tatu,si kweli kwamba kufika kileleni kwa mwanamke kunatokana na clit pekee.Hii itapingana na utafiti unaoonesha kwamba upo uwezekano wa female orgasm thru nipple stimulation.Lakini pia vaginal penetation inaweza pia kumfikisha kileleni bila shida.Refer the so called G-Spot.Na ukiona wewe kama mwanaume humfikishi kileleni mpenzi wako,kaa chini ujitathmini kwanza kabla ya kulalamikia maumbile ya mwenzio.

Nne,kwa hali ya kawaida sio rahisi mtu wa jamii isiyofanya kitu hii akaelewa maelezo yoyote yanayoelekea kuunga mkono jambo hili.Tukisema kufanya hivyo ni kuingilia uumbaji wa mwenyezi mungu,tujiulize,je mungu alikosea kuumba mwanaume na foreskin,mbona baadaye mungu mwenyewe alisema wanaume watahiriwe?Lakini pia mbona hatusemi juu ya tohara kwa mwanaume? Je,ina faida yoyote?Hasara je?Lakini je,mbona jamii nyingine wanaume hawatahiriwi;maana hata wazungu wengi hawatahiriwi! Wao wanasema ni cosmetic surgery,so sio lazima.Na je,wewe kama mwanamke ukikutana na mwanaume mwenye "mkono wa sweta" unamwonaje?

Huu ni utamaduni wa jamii husika,na wahusika wenyewe wanaona fahari kufanyiwa hivyo.Kusema kweli kama kungekuwa na madhara kiasi hiki tunachoambiwa,wahusika wenyewe wangeishakataa.Ukiongea na waenyewe wanasema ni namna mojawapo ya identity ya mwanamke mtu mzima katika jamii yake.Kwa kufanya hivyo mwanamke anatambuliwa na kupewa heshima;hapo anakuwa amefikia hatua ya kuwa tayari kuitwa mama.

Tatizo kubwa ninaloona hapa ni kwamba,wengi wetu tunaojadili hapa ni wale ambao hiyo mila haipo katika jamii zetu.Na kubwa zaidi ni kwamba wengi wetu tumezaliwa au kukulia mjini ambapo hata hizo mila na desturi za huko tutokako hatuzijui na nyingine tunaziona za hovyo kabisa.Maana mila za kisasa ni pamoja na kuvaa milegezo au nusu uchi na what's kibaooo..

Hivi vitu tungevijadili rationally,utafiti ufanyike,uoneshe kiwango halisi cha madhara yatokanayo na zoezi hili,kisha ndio tukae tujadili.Hakuna kitu kisichokuwa na faida na hasara jamani;ni kweli kuna hasara kama za kuambukizana VVU na madhara mengine,lakini mbona hatuambiwi faida zake?Mbona hatupewi nafasi ya kusikia wahusika wenyewe wanasemaje ni kwa nini wanaendelea kufanya hivyo pamoja na kuwepo kwa elimu ya kuacha?Maana madhara mengi yanayosemwa,kiuhalisia sio ya kiwango hicho kinachotajwa!
 

wewe ni joseph na yule ni mke wa potifa :laugh:
 

Siongi utaratibu huu FGM ila kuna kaswali huwa kanaulizwa na watu wanaotoka katika jamii ya wanao practice hii FGM katika kutaka kuharalisha hii kitu huwa kananiumiza kichwa (mbona mama zetu miaka yote wamefanyiwa kitu hii na bado wamezaa watoto 7 bila matatizo)
 
Ashiki wanazo swala ni pleasure kwao inapungua tena sana tu,kama hujawahi tembea na wanawake waliofanyiwa hiyo kitu utagundua utofauti wao.Swala sio kutembea nae tu ni lazima pia awe ni mpenzi wako wa muda mrefu na mmezoeana ndio atakueleza ana lack kitu gani otherwise wengi inabaki kuwa ni siri yao.
 
Kwahiyo King'asti wewe umeuamini huyo Pasco kuwa hakum-do yule mmama aliemfuata usiku!katika hali ya kawaida angeoneka si muungwana kutokana na ukarimu aliofanyiwa.Hiyo Pasco siri yako na Mungu wako ila mimi sishawishiki kuwa hukufanya chochote.Usipandishe jazba mkuu this is JF.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ukweli ni kuwa FC au FGM inapunguza kwa kiasi kibwa sana ashiki. Waulize wanawake waliofanyiwa. Watakwamba hawajui hamu ya sex ikoje. Hawajui kitu orgasm ni nini. Wanapata orgasm wakikutana na mwanaume anayeweza kutumia muda mrefu kum-stimulate. FGM inatofautiana sana kutoka kabila moja hadi lingine. Makabila mengine yanaondoa clit na mashavu yote. Mengine yanaondoa clit peke yake. Mengine yanapunguza urefu wa clit tu. kabila hili la mwisho wanawake wanaskia ashiki.

Kuhusu waiofanyiwa FGM baadhi yao kuwa vicheche haimanishi wakuwa hivyo kwa sababu ya ashiki. Inaweza kuwa ni for monetary gain tu.

Kama mwanaume, siipendi FGM maana inaninyima maximum satisfaction. Nakuwa kama nafanya masturbation
 

Asante sana, ila kwa nijuavyo mimi huyo anakuwa hajafanyia vizuri; wale wazeee ni watalamu wazuri sana na sayansi yao ni ya uhakika kwani wanafanya vila kuathiri mfumo wa mwanamke kabisa...
 
Mawenzi hapo umewapa kila kitu na asiye kubali itakuwa ni ubishi wakati hajawahi hata kuwa na mpenzi angalau mmoja katika maisha yake aliyefanyiwa hiyo maneno,anyways kuna watu humu anachangia kwa jinsi anavyo imagine lakini lazima tukubali kuwa inawaathiri kwa kiwango fulani.Angalizo usijifanye dunia ya leo kuhaha na hiyo kitu ili u-prove utaondoka siku si zako,hii tulikuwa tunafanya sisi wazee enzi zetu na sasa tumestaafu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana, ila kwa nijuavyo mimi huyo anakuwa hajafanyia vizuri; wale wazeee ni watalamu wazuri sana na sayansi yao ni ya uhakika kwani wanafanya vila kuathiri mfumo wa mwanamke kabisa...

Nilipita wilaya mojawapo katika mkoa wa Mara, siwezi kusema kwamba nilifanya utafiti la hasha maana mtanidai report ila kiukweli haya mambo yanafanywa tena wenyewe wapo proud na kuna wengine wanaita wanatahiri ki-CCM (huu ni msemo wao yaani kisasa kama vile msemo wa digitali ulivyoshika hatamu wanakata kiduchu) na kila mwaka unaogawanyika kwa 2 lazima wafanye alafu kama serikali katika maeneo hayo imeharalisha vile maana kila December ya mwaka unaogawanyika kwa mbili ni shamrashamra tu tena wanakatiza live huku wahusika wakiwa wamepakwa sijui ni majivu usoni huku kila mmoja akiwa ameshika mwamvuli

Swali hapa la kujiuliza kwanini haya matatizo ya FGM yameonekana hivi karibuni wakati miaka mingi iliyopita watu walikuwa wanafanya na bado walikuwa wanadumu katika maisha yao ya ndoa na mbaya zaidi wanawake haohao ndio wanaowapeleka watoto wao huko maana kama wangekuwa wame-miss kitu lazima wasingepeleka maana ikumbukwe kabla ya kukatwa kuna ambao tayari walisha practice sex hivyo uwezo wa ku-compare na ku-contrast wanao yaani life before FGM na life after FGM maana ni hawa hawa ndio wanaowanyanyapaa wanawake wenzao ambao hawajafanya hii kitu FGM kwa kuwaita jina moja yaani WASAGANE (kama kuwanyanyapaa flani). HAPA NIMEJIULIZA SANA NA MARA NYINGI NIMEKUWA KATIKA PITAPITA NIKIWA NAWAPINGA HUKU NIKIWA NATAFAKARI NILICHOANDIKA KWENYE HII PARAGRAPH MAANA SI SIRI KAMA UKIENDA HIYO MIEZI NILIYOSEMA NA MNAONGEA NAO KAMA KAWAIDA TU)

Hii kitu kwa sasa naweza kusema imepitwa na wakati kwa kigezo kwamba sasa hivi watz tunaingiliana sana hivyo mtu kutoka kanda ya kasikazini anaoa kusini kwenye mila tofauti the same na kanda zingine hivyo hivyo, kwa mtaji huu inakuwa ni muhari kwa mtu ambae amefanya FGM ku-cope na mtu alietoka katika jamii ambayo haina haya mambo ya FGM. Mila hii iliwafaa wao kwa kipindi kile kwa sasa inakuwa ngumu kidogo kutokana na muingiliano wa makabila mbalimbali
 

Mimi nikikutana na mwanamke alikatwa hiyo makitu sita enjoy kabisa maana mie ugonjwa wangu ni kukinyonyaaaaa kama ubuyu na ndio huona mwanamke hufikia kileleni mdomoni mwangu kabla ya Game kuanza !
 
Last edited by a moderator:

Fascinating findings and observations about Female Circumcision (not FGM), publish hizo habari mkuu; lakini nafikiri hata kupitwa kwake na wakati inabidi waamue wao huko kwao; tusiwadharau labda tufanye uhelimishaji shirikishi kwa kuwapa alternatives na sio kuwatukana na mbaya zaidi kutukana utamaduni kitu ambacho ni cha hatari sana.
 

Huyo aliyekuwa hafiki kileleni anatatizo jingine au ni mwanamume wake ndiyo tatizo, na ukumbuke kuwa wengi wa wadada ni wajanja wa maneno tu hata maana ya kufika kileleni hawajui na wengi wako kwenye ndoa hicho kilele wanakisoma kwenye maandishi tu,kwa kuwa hata wanaume wao hawajui na wala hawahangaiki kuwafikisha huko unakodsema kilele japo hawajatahiriwa.
Siandiki ili kupinga au kuunga mkono kutahiri wanawake,lah nimeandika juu ya kusingizia kutofika kileleni kwamba ni kwa wanawake waliotahiriwa tu, nina mrembo wangu anatokea singida, japo alikwisha ondolewa kshika ashki lakini kileleni anafika pasi na shaka na ana watoto wawili aliojifungua kwa njia salama na ya kawaida kabisa.
Nafikiri panatakiwa utafiti ulio wa wazi kabisa pasipo kuwa na jazba ilio kueleza faida za tendo au hasara zake, bahati mbaya au nzuri dada zangu kwenye jamii yangu hawafanyiwi hiyo tohara.
 
Hivi kutoa Kile kiharage inapunguzaje ashiki.Maana makabila ambayo kiharage kimetolewa wanasifika kwa kupenda gegedo balaa yaani wanatamani kugegedwa daily? Kama ni mkeo,mume ukisafiri wiki tu ukirudi kashenda kugegedwa kitaa tena Na Lofa yeyote Yule.sasa hapa shida Huwa napenda nini? Genye zipo juu au maana kidogo inachanganya
 
Kuhusu kutulia mara Mia ukaoa mwenye kisimi,kwa Hawa wasiokuwa navyo ni janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…