Mkuu Karikenye, utakuwa umeichanganya FC na Deflowering!, wazungu wengi haswa wa nchi za Scandnavia, wanafanyiwa "deflowering!" (kuondolewa bikra), hospitali na sio kusubiri kufanyiwa na ile kitu!. Hii imapelekea sex kwenye nchi hizo is not a big deal!. Nenda Stockholm, adult magazine, zinauzwa openly mchana kweupe na kwenye supper markets.
Nikiwa Sweden, niliishi nyumbani kwa Mtanzania fulani, mtu wa familia!, nyumba yake ilikuwa kubwa, nami niliishi guest wing!. Usiku wa saa 6, mke wa mwenyeji wangu alinigongea room kwangu kufungua, amevaa semi transparent night dress(kiukweli ni kama hajavaa nguo!, eti amekuja kuniuliza kama nimepata channels zozote za kuzifurahia kwenye TV zao. Kiukweli nilisearch mapema nikakuta channel nyingi ni za ki Sweedish!, nikaweka miziki nikajilalia, hivyo nilipogongewa, niliamka, ndipo nikamwambia sikuona channel nzuri!.
Akaichukua remote na kunionyeshea channels za English kisha akaniambia huku nu ulaya, ukitaka kuangalia hata mambo haya, huku unaangalia tuu hakuna siri!, aka switch adult stuff!. Du!, nikashangaa adult free to air!, ndipo akaniambia hivyo ni cable, ina child lock hivyo watoto hawaoni, ila baada ya saa 6:00 usiku, inakuwa free to air mpaka saa 10 alfajiri!. Nikauliza vipi kuhusu watoto?, nikajibiwa watoto kule ni under 14!, ni jukumu la mzazi kuhakikisha by saa 6 usiku, under 14 wote wamelala, from 15 wao ruksa kuangalia!. Wazazitalks to their kids about sex, msichana akitimiza miaka 15, wazazi wake wanampeleka hospitali kumuondoa bikra ili asijeumizwa!, na anafunzwa A-Z about sex ikiwemo kuruhusiwa kumleta boyfriend nyumbani!.
Sio siri nilijihisi kuogopa, mama mke wa mtu, room kwangu saa 6 usik ameniwekea blue channel!, akaniambia usiwe na wasiwasi, siku mkuu wa nchi (by then Mkapa alikuwa ziara Sweden) akiwa hapa, Mzee huwa halali kabisa nyumbani!, huja asubuhi kubadili tuu nguo!. Nikimuangalia, huku naangalia TV, ukijumlisha na ile dress code!, Ibilisi alitaka kunipanda!, thank God roho wa Mungu, akaniingia na kukumbuka fadhila!, aliyenileta pale ni mumewe!, kula bure, kulala bure!, mbona mkewe anataka kunitia majaribuni?!. Na sio siri, sisi wengine dhaifu!. Nikapiga konde na kumwambia asante kunionyesha chaneli, na kumwish good night!, akaondoka huku kama amechukia fulani!. Na tangu siku ile, ukarimu na hospitality zilikoma!.
Tena kwa kabila la huyo mama, na umri wake!, itakuwa ni miongoni mwa waliofanyiwa FC, hivyo mume hayuko home usiku mmoja tuu!, alitaka!, how about hao wafungaji wanaikuwa kwenye malisho miezi 6 hadi mwaka?!.
Pasco.