Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

Swali lako la mwisho hapo jibu lake ni utamaduni sio asili. Anyways kutokana na maelezo yako kukujibu kiufupi ni kuwa tunapozungumzia Masculinity na feminity tunakuwa tunazungumzia korido mbili tofauti ukitrace essence zake. Shida iliyopo kwa sasa kuna mkaranganyiko wa scholars na intellectuals kuziadjust hizi agenda kwa kuzichanganya elements zake.

Simply tukiongelea uanaume kuna vitu huwezi visema kuhusu uanaume ukiwa na mitazamo ya kike. Mfano hilo la kulia kwa mwanamke source yake ni wanawake wanaojaribu kufikiria kama wanaume na kuhisi wanaume kulia ni sehemu ya maisha ya mwanaume na kuwa akijikaza na kutolia ni hatari kwa afya yake. Hii kitu haijawahi kuwamo katika elements za uanaume.

Kulia labda awe amekatwa mkono na ni kwaajiri ya zile physical pain ila sio maswala ya kihisia, eti maisha magumu mwanaume ajifungie alie, au mwanamke kamsaliti alie kutoa maumivu.

So kwenye swala la masculinity naomba tuelewane kuwa kwa sasa kuna mkaranganyiko wa kumix elements za kike yaani feminity katika eneo la masculinity jambo ambalo ni upotoshaji na kuharibu natural order.

Study case nakupa ni US, unakuta mzazi ana mtoto wa kiume ambaye anafail kubehave kama wa kiume anaanza kuwa bullied anajihisi yeye ni mwanamke na mzazi anamsapoti kuwa ni sawa kuwa mwanamke na wanakwenda hadi kufanya gender reassignment surgery ili kijana awe binti kuridhisha hisia anazofeel. Hii ni attack ya feminism on Masculinity.
 
Mifumo ndiyo inamtwisha mwanamke yote haya. Kwa mfano kauli ya wanawake tunaweza ndiyo inayo wachimba kaburi. Nafasi za kazi zikitoka, wanaume na wanawake wenye sifa zinazo fanana basi mwanamke ndiyo anakayepata kazi. Kumbuka huyu mwanamke mumewe ndiye anayezunguka na bahasha ya cv muda mrefu pasipo mafanikio. Mwisho wa mwezi ukifika mama ana provide kila kitu. Kama mifumo ingekuwa inawapa majukumu wanaume nadhani wimbi la wanawake kuprovid familia lingepungua. Na taasisi kama ustawi wa jamii wangekuwa wakali kwenye kuwabana wanaume nadhani majukumu ya akina mama kulea watoto na kutunza nyumba yangepungua kama sio kuisha. Kwa ulimwengu wa sasa wa sauti za wanawake, wanawake na jinsia, haki sawa, tutegemee wanawake kubeba mizigo zaidi. Ingawa wenyewe wanajiona wanapambana na mifumo dume. Wanapambana na kivuli bila kumuona adui, wakija tahamaki kivuli cha adui ni wao wenyewe.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mkuu naona unakujakuja ILa Kuna kitu unamis. Wewe umeshindwa kuwa mtaalamu umesimamia upande unaomilikiwa. Ofkooz si kitu kipya. Uliposema natural ndo umeahribu kabisa. Hao mashoga na wasagaji ni watu wazur Sana kuchalenji maana ya UANAUME NA UANAMKE. mtafte Judith butler 1990, yeye kazungunzia hizo concepts. Uanaume wenyew ni tamaduni ambayo sio lazima uwe na jinsia ya kiume ndo utende. Wanaume tunatenda sabb tunaamini ndani yake. Wanaume wenzetu ambao wanapakatwa Wana Jinsia za kiume Lakin WANA HISIA na wanaume wenzao. Hili suala linachalenj neno 'mwanaume' kama ni nature. Hii haousiani kabisa na viungo vya uzazi vya mtu
 
Alipokosea Adam bi kumruhusu mwanamke, kumpa nafasi, kumuachia uhuru wa kukaa peke yake.

Tulipokosea ni kumruhusu mwanamke na kumpa nafasi ya kuongoza. Mwanamke anaongozaje, yeye antakiwa kwenda kwa maagizo na amri za mumewe. Leo hii hadi raisi wa nchi ni mwanamke, tunaongozwa na mwanamke.

Hapa tunsumia sisi wanaume, jamii kwa ujumla inaumia coz kuna power shift kubwa sana kuanzia ngazi ya kifamilia hadi taifa. Familia nyingi zinaongozwa na wanawake.
 
Masculinity.
 

Familia zinazoongozwa na wanawake nyingi ni zile za ma-single mother.

Wapo tunaonufaika na mfumo huu hasa kwenye ishu za biashara.
 
Familia zinazoongozwa na wanawake nyingi ni zile za ma-single mother.

Wapo tunaonufaika na mfumo huu hasa kwenye ishu za biashara.
Mkuu nakukubali sana
leo nimeamua nikufollow kabisa maana una akili/mtazamo kama wangu

KEEP IT UP
 
Hii nimeiona mapema sana
 
genious,umeongea point asilimia mia na robo tatu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…