Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo Salama Kabisa!
Huwezi kuta Msichana Mrembo, mwenye Haiba ya kike akawa Feminist. Huwezi kuta.
Yaani umkute mwanamke mwenye shape lake alafu feminist utasubiri Sana. Au umkute mwanamke mwenye Sura ya kike tipikali awe Feminist. Utasubiri Sana.
Huwezi Kuta Mwanamke aliyelelewa na Baba na Mama wenye kupendana na kuheshimiana alafu huyo mwanamke awe Feminist. Never ever.
Huwezi kuta Mwanamke anayepewa mapenzi na mumewe au mchumbaake alafu awe Feminist. Hayupo huyo mwanamke.
Ili mwanamke awe Feminist na aingiwe na ideology ya ufeminism ni lazima awe na sifa kuu zifuatazo;
1. Background yake inatokana na kukua na kulelewa kwenye familia isiyo na upendo na kuheshimiana. Baba na Mama wanagombana, wanaoneana, Baba kaoa wake wengi, Baba anampiga Mama au Mama anampiga Baba. Hivyo Binti anakuwa affected kisaikolojia na baadaye hujikuta Akiwa feminist
2. Background ya Mahusiano yake ya kimapenzi, Binti amenyanyaswa Kihisia, kingono, kafanyiwa ukatili kama wote. Kiasi kwamba moyo wake umejeruhika.
Mabinti WA hivi wengi wao huwa Makahaba, au kujiingiza kwenye ufeminism.
Ndio hawa unasikia wanaitwa feminists.
3. Athari za maumbile ambapo huathiri saikolojia ya mwanamke
Moja ya mambo yanayoathiri Saikolojia ya Mtu ni maumbile yake.
Mwanamke asiye na mvuto na Haiba ya kike ni rahisi kujiingiza katika matendo ya ufeminism tofauti na yule mwenye maumbile ya kike.
Sura personal
Umbo lisilovutia
Miondoko na kikao isiyo ya kike huathiri saikolojia ya Mwanamke
Huwezi kuta Msichana Mrembo tipikali alafu awe Feminist. Hutokuja umwone huyo mdada.
4. Matumizi ya madawa ya kulevya na mvurugana unaosabishwa na usasa usio na mipaka.
Wanawake ambao hawajakuzwa kwenye familia zenye maadili hujikuta kwenye Hatari za kuwa mafeminist kwa Sababu hurukia rukia mambo ya usasa bila uongozi wa Wazazi.
Baadhi Yao hujiingiza kwenye matumizi ya madawa y kulevya na hiyo kuwapa ujasiri wa kufanya mambo kinyume na hulka na asili ya Jinsia Zao.
Feminist mostly hawaoni shida Kutembea uchi, kuweka Tattoo, kusagana, kwa Sababu ya matatizo mabaya ya kisaikolojia.
Wengi wao hujiamini Sana na hiyo ni Moja ya dalili ya matatizo ya kisaikolojia au matatizo ya Akili.
Kwa upande wa wanaume sifa hizo zinawafanya wanaume kujiingiza kwenye mambo ya ushoga. Na hiyo kuwafanya wawe Feminists wenye jinsia ya kiume.
Jadda
Namna pekee ya kuwasaidia hawa watu ni pamoja na;
1. Kuepuka utapeli kwenye Ndoa. Watu kupendana kweli na kuheshimiana sawasawa na sio kutanguliza pesa
Kwa Sababu Moja ya mambo yanayopelekea unyanyasaji na ukatili ndani ya ndoa ni kutokuwa na mapenzi ya dhati. Wazazi wakipendana na kuheshimiana watoto hawawezi kuwa feminist
2. Wanaonzisha mahusiano mapya wazingatie Kanuni Bora za mapenzi na ndoa. Utapeli tapeli ukomeshwe.
3. Elimu ya maumbile zitolewe, kuzaliwa ukiwa na sura ngumu au maumbile yasiyolingana na jinsia yako isikufanye ujihisi vibaya.
Na jamii ionywe na Sheria Kali ziwekwe za kuzuia bullying
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam