TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi.
Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la mawasiliano kuna Maabara 4, zote hakuna AC wala feni tunapoingia kunakuwa na suffocation sana na joto kali sana, huu ni mwaka wa pili nimezikuta hivyo na hakuna jitihada zozote.
Upande wa majengo ya Block B na C Pia, mamlaka zilifanyie kazi hili tafadhali maana tunakuwa kama wafungwa na ada tunalipa, yaani hiki ni chuo cha Teknolojia (Dar es Salaam Institute of Technology - DIT) lakini tunakuwa na kero kama hizi ndogondogo, ni aibu kwetu.
Jitihada za kuutafuta Uongozi wa DIT zinaendelea kusikia upande wao wanazunguziaje kuhusu madai hayo ya Mwanachama wa JamiiForums.com