kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Kijana wa hovyo tu huyu yaani unakuja kulalamika A.C as if bila hiyo A.C hawezi kusoma by the way DIT ni chuo cha teknolojia wameshindwa kujiorganize watu wa fani tofauti tofauti hapo chuoni kujaribu kurekebisha mamboAc haziwekwi na chuo utamaliza,labda udisco.