kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Kijana wa hovyo tu huyu yaani unakuja kulalamika A.C as if bila hiyo A.C hawezi kusoma by the way DIT ni chuo cha teknolojia wameshindwa kujiorganize watu wa fani tofauti tofauti hapo chuoni kujaribu kurekebisha mamboAc haziwekwi na chuo utamaliza,labda udisco.
Masala mawili lab,tuna kama 5-6 hours Archa masihara mkuuHhhh,Sasa kijana analalamikia AC wkt kukaa venue ni masaa mawili tu anasepa.
Asubrie ataweka kwake.
Sasa tunasema hivi hizo A.C hatuweki acha chuo basiMasala mawili lab,tuna kama 5-6 hours Archa masihara mkuu
Una unaa,unaongea kirahisi tu kujiorganize labda kama hujui utaratibu wa ukarabati wa miundombinu Za umma chini ya serikaliKijana wa hovyo tu huyu yaani unakuja kulalamika A.C as if bila hiyo A.C hawezi kusoma by the way DIT ni chuo cha teknolojia wameshindwa kujiorganize watu wa fani tofauti tofauti hapo chuoni kujaribu kurekebisha mambo
Haijaisha mpaka iisheSasa tunasema hivi hizo A.C hatuweki acha chuo basi
Pale shida inakuaga vipindi vya mchanaHhhh,Sasa kijana analalamikia AC wkt kukaa venue ni masaa mawili tu anasepa.
Asubrie ataweka kwake.
Umeona ulichokiandika ,Sisi katika kukusaidia Futa uzi maana kama woote tukikaa kimyah hakuna Haja ya ww kuja kulia hapa jukwaani....La msingi pigeni spana Uongozi kupitia platform mbalimbali maana Hela hio Naamini IPO sema inaliwa kishkajiMimi sio mpumbavu ,you’re not here thats you know nothing, so shut up your mouth,hiki sio chuo cha kwanza kusoma mimi and do not think that mimi ni kid ,uongozi wa chuo wa zama hizi sio wa zama zile,Filho da Puta
sasa nyie kama mnaunda hadi solar na majenereta mnalalamikia AC mhhh kuna shida hapoMadarasa mengi na maabara za DIT Ac na feni hazi fanyi kazi, mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la mawasiliano angani kuna maabara 4 zote hakuna AC wala feni tunapoingia kunakuwa na suffocation sana na joto kali sana, huu ni mwaka wa pili nimezikuta hivyo na hakuna jitihada zozote, Block B na C Pia, mamlaka zilifanyie kazi hili tafadhali maana tunakuwa kama wafungwa na ada tunalipa.
Kijana kama ana busara atasikiliza ushauri wakoUmeona ulichokiandika ,Sisi katika kukusaidia Futa uzi maana kama woote tukikaa kimyah hakuna Haja ya ww kuja kulia hapa jukwaani....La msingi pigeni spana Uongozi kupitia platform mbalimbali maana Hela hio Naamini IPO sema inaliwa kishkaji
Ndugu, kwa umri wako huo, ujawai jiuliza ni kwa nini wengi wa Maafisa Manunuzi/Ugavi na Wahasibu uwa ni wanene/vibonge pamoja na kunawili kuliko Maafisa wengine katika Sekta za Serikali na zisizo za Kiserikali?Ni jambo la aibu na kukodharirisha chuo kikubwa Africa kama DIT, maana usinambie hapo DIT hakuna kozi ambazo zinazalisha watalaamu bobevu hapo ni suala la viongozi wenu wa chuo kuomba ruhusa na pesa kidogo ili kozi mojawapo hasa wale electrical engineering wapewe kazi ya kuzirekebisha na sio kuja kulia lia hapa mtandaoni kwa issue ndogo kama hiyo.
Shida ni protocol Za kurekebisha vifaa vya uma,sambamba na vifaa vya kurekebishia Chuo hawataki kubeba gharama,hivyo binging ni miradisasa nyie kama mnaunda hadi solar na majenereta mnalalamikia AC mhhh kuna shida hapo
tumieni akiliShida ni protocol Za kurekebisha vifaa vya uma,sambamba na vifaa vya kurekebishia Chuo hawataki kubeba gharama,hivyo binging ni miradi
Afadhali unisaidie,nilipokuwa Muhimbili nilibahatika kuwa waziri wa Malazi na ulinzi niliweza kuingia vikao Vingi vya uongozi wa chuo,tulikuwa tunarumbana sana kuhusu ukarabati wa vyoo,na kununua magodoro Mapya,tuliweka ngumu kwamba hakuna ukarabati tunasonga mbele,wakaidhinisha Wakarabati lakini tulipigwa ban mwaka.Ndugu, kwa umri wako huo, ujawai jiuliza ni kwa nini wengi wa Maafisa Manunuzi/Ugavi na Wahasibu uwa ni wanene/vibonge pamoja na kunawili kuliko Maafisa wengine katika Sekta za Serikali na zisizo za Kiserikali?
Mzee unajibu kama umeridhishwa na matatizo. Sasa kama si muhimu hizo AC walifunga za nini!Hhhh,Sasa kijana analalamikia AC wkt kukaa venue ni masaa mawili tu anasepa.
Asubrie ataweka kwake.
Gen Z bila AC hawatoboi wana melt kama ice cream wagome wanaanzaje wakati aliyeapa mikopo kawapa na masharti ya kuwa makondoo tu ukifurukua anakata huduma kama Trump.Kwani hamuwezi kugoma? Watoto wa siku hizi mmekuwaje