KERO Feni na AC katika Majengo mengi ya Chuo cha DIT - Dar ikiwemo Maabara hazifanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mnasomea technology, lecturers wenu wanashindwa kuwapa hizo AC na feni mtengeneze wenyewe?πŸ€”
Nenda VETA unakuta mali zao chakavu. Ila itakuwa ni ile sheria ya manunuzi inawabana mpaka watangaze tenda.
 
Kwani Serikali ya Wanafunzi siku hizi haipo au hilo sio jukumu lao kupaza sauti!πŸ˜‚
 
Can't you get to apply the acquired skills on repairing those deformities, How dare you to Call DIT learners while failing to fix such minor issues?
Who gonna Be?
 
Kwani Serikali ya Wanafunzi siku hizi haipo au hilo sio jukumu lao kupaza sauti!πŸ˜‚
Juzi alikuja dogo wangu anasoma kwenye Chuo hicho analalamikia hiyo changamoto, swali langu la kwanza nikamuuliza Serikali ya Wanafunzi imewasaidiaje kupaza sauti, akasema majibu wanayopewa ni kwamba wanalifanyia kazi.

Ni kweli vijana wanateseka naamini kama limefika hapa jukwaani mamlaka zitawajibika kupunguza kero hii ikizingatiwa kipindi hiki ambapo kuna joto kali
 
Nunua feni Yako ndogo nenda nayo chuo Kuna socket hapo acha kupoteza muda watu wanakula urefu wa kambamba
 
Ni Taasisi, wala sio Chuo.
nweiiii wahusika watashughulika na hilo tatizo.
 
Chuo cha serikali kinacho zingatia wanafunzi kusoma bila mawazo ya Joto ni Law school tu nyie wengine jipepeeni
 
A
Can't you get to apply the acquired skills on repairing those deformities, How dare you to Call DIT learners while failing to fix such minor issues?
Who gonna Be?
natengeneza yeye alafu mafundi waliojiriwa wanakipwa mishaara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…