Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

Hey Beautiful...how is it going?
Welcome aboard...

ha ha let the wifey search continue...ya dig!!!!

Yule lawyer aliyeuwauwa na majambazi nyumbani kwake naye aliuwa kundi moja na hawa akina Ruhinda? Maana nasikia Mheshimiwa alipigiwa simu na mke wa marehemu next thing Mahita akapewa agizo....
 
Mkuu MMJ,

1. Huyu Ruhinda, originally alikuwa foreign na Mkapa, walikuwa marafikia wakubwa sana, lakini huyu mkulu hakuwa rafiki wa kweli ni opportunist,

2. Huyu hawezi fika nyumbani kwa Mkapa, maana mama hamtaki kabisa, kwani anajua kuwa ni kwa huyu mkulu ndiko alikuwa akikutania na yule hawara mama Rweyemamu,

3. Huyu ndiye aliyetumika na mtandao kumshinikiza mkulu kumpitisha mgombe wao, ndiye aliyepewa lile "Faili" na ule mgawo,

4. Miaka miwili kabla ya uchaguzi Rostam, alimvuta kule kule Vodacom, kama director wa bodi mshara wa shillingi millioni tatu kwa mwezi, ambako pia alikuwepo na Msekwa,

5. So smart opportunist, kwamba ndiye aliyekuwa pia PR manager wakati kampeni ya muungwana, licha ya kuwa pia ya Mkapa, na ni huyu ndiye aliyemtosa Ulimwengu kutoka kwenye kampeni ya pili ya Mkapa,

6. Sasa hivi hayumo tena ndani, lakini kila masilahi ya mkapa yalipo anayo percent, hana shida tena, na ndiye hasa anayejua yote yaliyojiri behind the scene, kwenye Mkapa na uchaguzi wa rais wa 2005, maana Kigoda was the intended name, lakini ni huyu Ruhinda ndiye aliyekuja kubadili mambo, wiki tatu kabla ya kwenda Dodoma,

7. Na mpaka leo ndiye the mastermind behind all the spin za mtandao na muungwana, Yes I said it hata Salva lazima aripoti kwa huyu kwanza, kabla ya kusema lolote serious!

Ahsante Wakuu.

FMES,
Ongezea na hizi;

8. F. Ruhinda na Mkapa wanatoka mbali zaidi. Tokea walipokuwa Daily News, ambako Mkapa alikuwa bosi wa FR. Walikuwa karibu sana hasa kwenye ulabu na ku-date wasichana. Ndio maana hawakuachana, kila Mkapa alipopanda cheo, FR alimfuata na Mkapa alimuamini FR kwenye nyeti zake zote.

9. Wote walikuwa sio wajamaa kamili. Walikuwa wanapenda zaidi itikadi ya mrengo wa kulia kidogo, aliyokuwa nayo marehemu Mzee Kambona, bosi wa kwanza wa Mkapa. Kwa hiyo ubepari kwao ulikuwemo ndani yao ila walizidisha tu tamaa na kuwa mafisadi.

10. Wakati wanafanya kazi Daily News, wote hawakumpenda kijana aliyekuwa anachipukia wakati huo, Jenerali Ulimwengu, maana alikuwa ni mjamaa halisi, tofauti na wao. Ndio maana chuki kwa Jenerali iliendelea hata Mkapa alipoingia ikulu, na FR akashauri kuwa wamtimue nchini.
 
alafu na nyie JF saa nyingine mnakuwa wambea.. inamaana Mkapa kwasababu ni Rais asiwe na marafiki..!?!! hahaha.. ndio huyu jamaa ni kitchen cabinet wa Mkapa.. anahela mbaya and anapiga madili kama Kenya.. Lakini hiyo example ya Kapinga haina uhusiano wowote... the guy was killed, mke wake akampigia Rais who was one of his closest friends.. CHaajabu NINI?
 
Najua balozi Ruhinda alikuwa na mwananchi kabla ya Aghakhan kulitwaa lote,nadhani kwa sasa atakuwa na redio uhuru
 
FMES,
Ongezea na hizi;

8. F. Ruhinda na Mkapa wanatoka mbali zaidi. Tokea walipokuwa Daily News, ambako Mkapa alikuwa bosi wa FR. Walikuwa karibu sana hasa kwenye ulabu na ku-date wasichana. Ndio maana hawakuachana, kila Mkapa alipopanda cheo, FR alimfuata na Mkapa alimuamini FR kwenye nyeti zake zote.

9. Wote walikuwa sio wajamaa kamili. Walikuwa wanapenda zaidi itikadi ya mrengo wa kulia kidogo, aliyokuwa nayo marehemu Mzee Kambona, bosi wa kwanza wa Mkapa. Kwa hiyo ubepari kwao ulikuwemo ndani yao ila walizidisha tu tamaa na kuwa mafisadi.

10. Wakati wanafanya kazi Daily News, wote hawakumpenda kijana aliyekuwa anachipukia wakati huo, Jenerali Ulimwengu, maana alikuwa ni mjamaa halisi, tofauti na wao. Ndio maana chuki kwa Jenerali iliendelea hata Mkapa alipoingia ikulu, na FR akashauri kuwa wamtimue nchini.
Mkapa very janja!Alificha makucha na mwalimu hakujua hilo!Jamaa alikuwa na mali long time sema aliziandikisha kwa majina ya ndugu!Kama kuna mtu anayemfahamu yule tajiri mkubwa aliyekuwa na magari ya kusafirisha mizigo toka enzi hizo ambaye yuko huko mtwara!Jamaa alikuwa na bado ni tajiri wa kutupwa na yeye ni ngugu na mkapa kwa upande wa mama yake Mkapa!
 
Mkapa hakuwahi kuficha makucha yake hata siku moja, ndio maana hakuweza kushinda NEC wala cc, pmaoja na wajumbe kushinikizwa sana na Mwalimu, kila wakati walimtupa chini, Mwalimu alipowahoji wajumbe kwa nini hawampi ujumbe, wakamjibu kuwa ni kiburi, mjeuri, na ana majivuno sana na dharau, ikabidi Mwalimu awatishe umoja wa vijana ndio wakampa ubunge wa bure kupitia vijana, nafasi ambayo ilitakiwa iwe ya mkulu wangu (RIP) Maneti,

Sasa eti mnasema kuwa Mkapa, alimficha Mwalimu tabia zake? Na hao wajumbe waliokuwa wanamkataa walikuwa wajinga?

Kwani muungwana, hakuambiwa kuwa Chenge ni noma? Sasa mtasema kuwa na yeye Chenge alijificha makucha yake kwa muungwana?
 
Mkuu wa Medani tafadhari punguza ukali wa maneno,angalau tafsida kaka. Wiki hii ni nzito sana kwa baadhi wananchi wenzetu, maana kama kushughulikiana basi kasi yake ni ya tufani,atakayepona anapaswa aende ktk nyumba ya ibada na kumshukuru mungu.Ni hayo tu muungwana
 
hakika kuna vita vinaendelea, but am enjoyin this, really, kama muvi la jack chan, fukuto am tellin u, kikwete better be careful asije kuta nchi tayari ishapinduliwa.
 
Hey Beautiful...how is it going?
Welcome aboard...

Thanks 'Nyani',Mmh jina linakua gumu kidogo kutamka,nahisi kama ntakua nakutukana,samahani lakini.You are the 1st to welcome me,so I hope you'll be a good friend to me here at JF-The pool of knowledge.

Be blessed indeed.
 
twende pole pole.. tutagusa hata visivyoguswa....

Kama vinaukweli ndani yake sharti viguswe. Kwanini Mr.Clean haongei?? Au hasikii yasemwayo kuhusu yeye?? Halafu kwanini JK anawalea wale ambao hata kijana wa chekea anawajua kuwa ni mafisadi?? Wanataka ushahidi gani??
 
Mkapa hakuwahi kuficha makucha yake hata siku moja, ndio maana hakuweza kushinda NEC wala cc, pmaoja na wajumbe kushinikizwa sana na Mwalimu, kila wakati walimtupa chini, Mwalimu alipowahoji wajumbe kwa nini hawampi ujumbe, wakamjibu kuwa ni kiburi, mjeuri, na ana majivuno sana na dharau, ikabidi Mwalimu awatishe umoja wa vijana ndio wakampa ubunge wa bure kupitia vijana, nafasi ambayo ilitakiwa iwe ya mkulu wangu (RIP) Maneti,

Sasa eti mnasema kuwa Mkapa, alimficha Mwalimu tabia zake? Na hao wajumbe waliokuwa wanamkataa walikuwa wajinga?

Kwani muungwana, hakuambiwa kuwa Chenge ni noma? Sasa mtasema kuwa na yeye Chenge alijificha makucha yake kwa muungwana?

Heshima mbele mkuu.
Inaonekana Mwalimu alimbeba Che Nkapa siku nyingi kwanini mkapa anamdisapoint, maana mtu anakubeba siku zote halafu unakiuka idea zake, maana nilifikiri angekuwa wa kwanza kutetea sera za mwalimu.
Ndo maana nyerere alisikitika sana mkapa alipolazimisha kuuzwa kwa NBC. it was real disapointment kwake nafikiri ndo maana alikufa anasikitikia TAnzania.
 
Mkuu wa Medani tafadhari punguza ukali wa maneno,angalau tafsida kaka. Wiki hii ni nzito sana kwa baadhi wananchi wenzetu, maana kama kushughulikiana basi kasi yake ni ya tufani,atakayepona anapaswa aende ktk nyumba ya ibada na kumshukuru mungu.Ni hayo tu muungwana

Mkuu heshima yako, ninaomba nikuambie kuwa huyu ndugu yako Mkapa, huwezi kumtetea, maana mimi binafsi sijatoa uchafu wake wote in details ninaoujua, sasa sijui utafanya nini!

Mimi sitaacha kumtwanga, sio yeye ila kiongozi yoyote yule mbovu ambaye ubovu wake unajulikana, leo nimegundua kuwa umeanza njama za kunizunguka kwa nyuma ili kuni-intimidate nisichangie mada za Mkapa na Rostam, sasa nina swali moja ninajiuliza kwa nini hoja zangu tu ndio zinakusumbua za wengine hapana, kuhusu hawa viongozi wawili? au unafikiri nimezaliwa jana sijui uliyoyafanya leo?

Mkuu ninakuahidi wewe na hao unaojaribu kuwatumia kunitisha kuwa, wote hamuwezi kitu na siwaogopi na nitaendelea kuwatwanga hawa viongozi wabovu na hasa hawa wawili Mkapa na Rostam, mpaka kieleweke, kama una hoja za kuwatetea ziweke hapa, kama kuna viongozi unaowajua wezi nao pia waseme hapa tuwachambue, otherwise utapata ugonjwa wa moyo hapa, mkuu ninawajua ndugu wengi wa viongozi ambao huwa hawagusi kabisa hapa wakiogopa pressure, sasa wewe nashangaa kuja hapa na kuanza kunitisha tisha unapoteza muda wako bure mkuu, wewe weka hoja hapa za kuwatetea mafisadi, kama huna kaaa pembeni ninarudia tena ndugu yangu nothing personal ila taifa tu!

Ahsante Bro, hizo njama mpya ulizozanza leo acha kabisa, maana sasa unatega mtego wa panya, utanasa waliomo na wasiokuemo na nimeshazishitukia, wameshindwa wengi kabla yako mkuu wewe huwezi! Kuanzia leo nimeamua kufuatilia ishu ya Mkapa na Karamagi, kwenye mkataba wa bandari ambao aliwalazimisha wakuu wa bodi huko kumpa Karamagi kwa miaka 25 ijayo kienyeji enyeji tu!

Now Stop it! Na heshima mbele pia!
 
Mkuu ES heshima maana mpaka hapo ulipofika kwa kuzungumzia issue ya bandari, ina maana unajua mchezo wote.

Kwani Ticts, hao Vertex walipewa percent ngapi?? Je kuna kampuni nyingine ya TZ yenye hisa hapo Ticts?? Ruhinda alikuwa busy sana na issue ya Bandari, je alikuwa anamrepresent nani??

Swap ya ownership ya Vodacom kutoka Planetel na Caspian ilikwenda vipi?? Kwa nini ghafla Planetel waliamua kupunguza percent yako kwa kiasi kikubwa?? Hiyo percent ilikwenda wapi na kwa niaba ya nani??

Kwani Balali ukaribu wake na Mkapa haswa ni nini?? Ni nani aliyekuwa center ya urafiki huo??

Maswali mengi sana nakuaminia Mkuu ES najua muda ukifika yote yatakuwa wazi.

I hope JK anajua anachofanya, maana kama ni kumbeep BWM amepata ujumbe loud and clear. Sasa BWM akiungana nakina EL, Rostam, Chenge, Karamagi na watu wa Zanzibar waliosaidiwa kuzima Muafaka, patakuwa patamu hapo Tanzania.
 
Mkapa hakuwahi kuficha makucha yake hata siku moja, ndio maana hakuweza kushinda NEC wala cc, pmaoja na wajumbe kushinikizwa sana na Mwalimu, kila wakati walimtupa chini, Mwalimu alipowahoji wajumbe kwa nini hawampi ujumbe, wakamjibu kuwa ni kiburi, mjeuri, na ana majivuno sana na dharau, ikabidi Mwalimu awatishe umoja wa vijana ndio wakampa ubunge wa bure kupitia vijana, nafasi ambayo ilitakiwa iwe ya mkulu wangu (RIP) Maneti,

Sasa eti mnasema kuwa Mkapa, alimficha Mwalimu tabia zake? Na hao wajumbe waliokuwa wanamkataa walikuwa wajinga?

Kwani muungwana, hakuambiwa kuwa Chenge ni noma? Sasa mtasema kuwa na yeye Chenge alijificha makucha yake kwa muungwana?

Nadharia hii haijakaa vizuri; na kama yalivyo mambo mengi hapa, jambo linaporudiwa 'over and over' mwishowe watu hulichukulia kuwa ni kweli.
Tunatakiwa tuamini kwamba Mwalimu aliujua udhaifu wote aliokuwa nao Mkapa na licha ya kuujua udhaifu huo ikiwa ni pamoja na ufisadi wake huu waTanzania wanaoujua sasa, bado Nyerere aling'ang'aniza Mkapa awe rais wao!

Haya, kama wajumbe wa NEC na CC walimkatalia Nyerere mtu wake asipewe ujumbe humo, na Nyerere kawasikiliza na kuanza kutafuta mbinu zingine za kumpachika kwenye ubunge kupitia kwa umoja wa vijana - je, hao NEC na CC ni vipi wamkubalie tena Nyerere hili?

Hatuelezwi Nyerere alikuwa na mradi gani na huyu Mkapa licha ya kujua ubovu wake mwingi!

Lakini ni Nyerere huyo huyo ndie pia aliwawekea ngumu baadhi ya viongozi, na wengine kutungiwa kitabu. Hatuelezwi hapa sababu zilizomfanya Nyerere afanye hivi, inagawa inaelekea watu walioguswa ilikuwa ndio mwisho wa matumaini ya kuchukua utawala wa nchi. Je, NEC na CC hawakuwepo kuwaondolea ngumu ya Nyerere viongozi hawa?

Kama Mkapa ametokea kuwa ni jambazi, sioni sababu kabisa kulaumu eti Nyerere ndiye aliyejua ujambazi wake huo na bado akaamua kumpigia kampeni kwa waTanzania ili wamchague.
Kwa mtu wa kawaida, nadharia kama hii haiingii akilini hata kidogo; lakini inapotokea kuwa wengi wetu tunakuwa na "Beautiful minds" basi hata udadisi kidogo inatuwia vigumu kuutumia.
 
1. Mwalimu alijua kuwa mkapa, ana kasoro ndio maana hakuwahi kumpa uwaziri mkuu hata mara moja kwa sababu hakumuamini, lakini ilipofikia urais akakumbuka kuwa aliwahi kuwa mwananfunzi wake Pugu.

2. Talking about nadharia na Mwalimu, na kukaa sawa je ile ya ku-support wizi wa uchaguzi wa visiwani, nayo imekaaje mkuu, sawa au sio sawa? au ni "ugly minds" kama sio beautiful minds?"

Hatuelezwi Nyerere alikuwa na mradi gani na huyu Mkapa licha ya kujua ubovu wake mwingi!

Je Mwalimu alikuwa na mradi gani na Mwinyi, tulishawahi kuelezwa? Maaana aliyemchagua si yeye mwalimu, au? NEC na cc ilimktalia Salim kuwa rais 1985, lakini ikampitisha kwa kura 90% kuwa mjumbe wake, is that a nadharia to you au beautiful minds?

Kama Mkapa ametokea kuwa ni jambazi, sioni sababu kabisa kulaumu eti Nyerere ndiye aliyejua ujambazi wake huo na bado akaamua kumpigia kampeni kwa waTanzania ili wamchague.

Hapana hoja iliyotolewa na mkuu mmoja huko nyuma ni kuwa Mkapa alimficha mwalimu makucha yake ya ujambazi, hilo ninakataaa kabisa ninasema kuwa mwalimu, alimjua vizuri Mkapa na tabia zake, lakini akaamua kwa makusudi kumpa urais anyways, na matokeo yake yameonekana na hasa serikali tuliyonayo sasa ambayo tulipewa na huyu huyu mkapa, sasa kama ni nadharia itakuwa ni ile ya mwanasheria wake mkuu wa mkapa kuwa na dola millioni moja US, na paunds millioni 5, UK labda hiyo kwako ni nadharia ya "beautiful minds" huku mshahara wa kima cha chini cha mwananchi ni dola kama $ 100 kwa mwezi, umeme ukiwa dola 50 kwa mwezi,

The rest ni hadithi za kawaida za apologist wa mwalimu, ukweli ni clear kuwa mkapa ni product ya mwalimu, kama alivyo muuungwana na Rostam, ni "product ya beautiful minds" ya mkapa. Wananchi we have to pay for this beautiful minds, lakini some of us bado tutasendelea kupiga kelele until the man akitinga mahakamani and he will tena very soon!

And again, waliotufikisha hapa tulipo as a nation sio wale ambao hawakuwahi kuwa marais, isipokuwa kina mkapa waliowahi kuwa, now lets talk about that tena in a serious note, sheria za jamhuri zinasema ni bodi ya wakurugenzi wa bandari ndio wenye mamlaka ya mwisho kuhusu tenda za bandari, lakini boom comes mr. Clean president na kuwaamuru wakurugenzi wa bandari kumpa Karamagi, 25 years of tenda ku-run containers za bandari yetu, unasema hizi ni nadharia zilziokaa sawa?

Tanzania tuna safari ndefu sana!
 
Mwanakjj,
Kweli lazima tujiulize, ni kwa nini muda wote tumeanza kupiga kelele hakuna siku jamaa kafungua mdomo wake(mkapa) ina maana anatupuuza na kutuona machizi ama wewe unaonaje?
 
Huyu Ruhinda mwenyewe sasa hivi ni bed ridden.Amezunguka dunia nzima kujaribu kutibiwa lakini imeshindikana,ame paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini
 
Back
Top Bottom