Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Asante ndugu yanguMaskini pole sanaaa, mzigo mzito kweli utafikia nao salaamaa....
Hahaha......Hapana Mkuu. Na furahia madini na busara za ndani ya huu wimbo.Naam song ilikuwa powa sana. Vipi lakini mkuu umeingia shimo lenye siafu nini.?🤔
Aha sawa hahaa.Hahaha......Hapana Mkuu. Na furahia madini na busara za ndani ya huu wimbo.
Vipi umeshtuka?Aha sawa hahaa.
Ndio mkuu nikahisi umeyakanyaga 😁Vipi umeshtuka?
Huu wimbo watu wanauchukulia poa. Ni zaidi ya Injili. Unachoma kweli kweli.Kabla ya kutuma pesa ya kuhonga napiga huo wimbo kwanza, mwisho wa siku najikuta hiyo pesa ya kuhonga nipo bar nakula vitu
Naam kongore kwako mtaalamu 👏Kabla ya kutuma pesa ya kuhonga napiga huo wimbo kwanza, mwisho wa siku najikuta hiyo pesa ya kuhonga nipo bar nakula vitu
HahahaNdio mkuu nikahisi umeyakanyaga 😁
Noma sana 😁Hahaha
Mno umeniokoa na vingi bwasheeHuu wimbo watu wanauchukulia poa. Ni zaidi ya Injili. Unachoma kweli kweli.
Yaani ukiupiga huo na bado ukaendelea na mipango ya kudanga basi ujue siku hiyo Shetani amekudhamilia.Mno umeniokoa na vingi bwashee
Ngoja Dr am 4 real PhD na KENZY waje maana wao ni wajuaji wa miziki hii.Kila ninaposikia Wimbo aa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, u awafaa wazee, vijana wa kike na wa kiume.
Kwa kweli waliupiga mwingi sana.
Ona sasa aaah Aah.
Afande sele morogoro kwaherini, kikosi cha mizinga kwa herinii.....aaah aaah.
Ona sasa hata nimemkosea Mungu., Malaika kwa hamu wananisubiria, Mimi nitakuwa Mgeni wa nani?
"......huo ndio ulikuwa mtindo wa maisha yangu, nilitamani kujivinjari na machangu...."Ni kajimbo fulani ukitaka kuvua ndomu kanapiga kichwani unaacha kiherehere
Ila yule mwamba alidhidi yaani "saa kumi na mbili nakutana na mademu wawili achana na yule tunayeonana saa mbili""......huo ndio ulikuwa mtindo wa maisha yangu, nilitamani kujivinjari na machangu...."
Kuna mtu anasema afadhali kununua..hahaha