King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Aiseee ilikuwa hatari sana ,ule wimbo wakati unatoka tulikuwa tunaugonga kuanzia asubuhi mpaka jioni na kwenye ile video yule jamaa aliyestuka baada ya feruz kukohoa alitisha.Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.
Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume.
Kwa kweli waliupiga mwingi sana.
* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."
- Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta. Ibilisi amefanikiwa kunivuta."
- "Kwaherini, kwaherini, kwaherini. Makongo na Jiteute, kwaherini. Mohaa na Azania, kwaherini.
Feruz alipewa zawadi ya Jeep na aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu BWM(M.A.P).