secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hivi wimbo wa wa Steve RnB 'jambo jambo' uko kwenye kategoria gani ya muziki mkuu?Mh! mi mjuzi wa R&B na pop
Hivi wimbo wa wa Steve RnB 'jambo jambo' uko kwenye kategoria gani ya muziki mkuu?Mh! mi mjuzi wa R&B na pop
RAP and bluesHivi wimbo wa wa Steve RnB 'jambo jambo' uko kwenye kategoria gani ya muziki mkuu?
Hakuna element ya reggae pale?RAP and broos
Hiyo reggae ndo blues enyeweHakuna element ya reggae pale?
Kumbu reggae huwa mnaita broose.Hiyo reggae ndo broose enyewe
Sweet reggaeHivi wimbo wa wa Steve RnB 'jambo jambo' uko kwenye kategoria gani ya muziki mkuu?
Ni ngoma ninayoipenda balaa.Sweet reggae
I meant blues🤣 we jamaaKumbu reggae huwa mnaita broose.
Mi najua tu muziki wa pachanga.
We jamaa
😂😂
Kuna nnNaam
Ile ngoma ni ya moto sana. Mungu amuweke sana.Kwenye nikusaidieje aliua🔥🔥
'
Hapo nimekupata vyema mkuu 😂.I meant blues🤣 we jamaa
Ile ngoma ni afro R&B kwa sababu ya matumizi ya Kiswahili na vibe ya kiafrika
Hii inatokana na kuhendekeza sana ngono hadi unasahauDada yake bashiri alitongozwa mara mbili wakati alishaliwa mbunye kitambo
Ni Dada Yake Bashir au AlbashirDada yake bashiri alitongozwa mara mbili wakati alishaliwa mbunye kitambo
Asante kwa kuipachika hapa. Nimeipakua tayari.Ninayo pia
View attachment 3399824
wimbo unaukubali na hauna unazingua kijana...😅Asante kwa kuipachika hapa. Nimeipakua tayari.