Ferouz na Prof Jay, Wimbo wao wa Starehe Waliupiga Mwingi sana

Ni nyimbo zikizojaa na kushiba maonyo na makemeo. Wakiufundisha umma uache kunyanyapaa waathirika kwani sio kila Mwathirika amefanya uzinzi.
Mbongo akiona una ngoma story anaisimulia vyema na anamtaja hadi aliyekupa ngoma, hata kama uliipata kwa bahati mbaya.
 
20250613_174027.jpg
 
Kila ninaposikia Wimbo wa Starehe wa Ferouz ft Prof Jay basi nasawazika roho na nafsi.

Wimbo uliojaa nasaha na hekima, wimbo uliozingatia maadili, wafaa kwa wazee, vijana wa kike na wa kiume.

Kwa kweli waliupiga mwingi sana.

* Hapa nilipo mimi nipo kitandani. Starehe zimeniweka matatani. Kupona tena mimi haiwezekani."

  • Sasa najuta, mwenzenu yamenikuta. Ibilisi amefanikiwa kunivuta."
  • "Kwaherini, kwaherini, kwaherini. Makongo na Jiteute, kwaherini. Mohaa na Azania, kwaherini.
Wewe.wa 2000?
 
We jamaa
😂😂
 
Back
Top Bottom