Festo Dugange: Serikali inajenga vituo vya Kusubiria wagonjwa Kwenye Hospitali ili kuondoa kero kwa ndugu

Festo Dugange: Serikali inajenga vituo vya Kusubiria wagonjwa Kwenye Hospitali ili kuondoa kero kwa ndugu

Hivi haya matumizi ya kawaida huwaga ni nini? maana Bil 93 afu ya maendeleo ya wananchi inakuwa 23bil - mbona huu ni uonevu mkubwa. yaani unatumia alimost 90% afu 10 ndiyo ya maendeleo - haya maendeleo utayapata lini sasa?
Matumizi ya kawaida ni MILKSHAKE hiyo. Ndio sababu inahitajika KATIBA MPYA, ambayo CHAWA WA MAMA wanapigana vikumbo humu kuipinga
 
Lazima uwe mtu wa hovyo kabisa, zaidi ya asilimia 90 ya bajeti inapelekwa kwenye matumizi binafsi (ANASA) na asilimia chache tu ndio inaenda kwenye maendeleo. Tuna serikali au GENGE la wahalifu na walafi tu?
Nchi nyepesi kuiongoza ni Tanzania
 
Back
Top Bottom