Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Matumizi ya kawaida ni MILKSHAKE hiyo. Ndio sababu inahitajika KATIBA MPYA, ambayo CHAWA WA MAMA wanapigana vikumbo humu kuipingaHivi haya matumizi ya kawaida huwaga ni nini? maana Bil 93 afu ya maendeleo ya wananchi inakuwa 23bil - mbona huu ni uonevu mkubwa. yaani unatumia alimost 90% afu 10 ndiyo ya maendeleo - haya maendeleo utayapata lini sasa?
Acha kujikunakuna ovyo ovyo huogi nini?Kati ya maybe yaliyokosa hamasa nadhani hili linaongoza
Nchi nyepesi kuiongoza ni TanzaniaLazima uwe mtu wa hovyo kabisa, zaidi ya asilimia 90 ya bajeti inapelekwa kwenye matumizi binafsi (ANASA) na asilimia chache tu ndio inaenda kwenye maendeleo. Tuna serikali au GENGE la wahalifu na walafi tu?
Pamoja na kutumia gari ya serikali na kufumaniwa“Kuna mambo ya muhimu yanafikiriwa katiya TAMISEMI na Wizara ya Afya kabla ya kufanya maamuzi.”
Haya magari ya serikali kazi yake kubwa kutuporea madem zetu [emoji1]Pamoja na kutumia gari ya serikali na kufumaniwa
Wee acha tu mrangi. Unabaki kulia na maumivu makali ya ndani kwa ndani. Madem zetu ni wajinga sana.Haya magari ya serikali kazi yake kubwa kutuporea madem zetu [emoji1]
Ova
DahHaya magari ya serikali kazi yake kubwa kutuporea madem zetu [emoji1]
Ova
Unaulizia........kwa....... 🤣Huyu festo si ndie kafumaniwa au?