Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita kudhibiti badala ya kusimamia kazi za Sanaa. Asema BASATA hawana Miundombinu ya kuchunguza kama Muziki ni bora au sio bora.
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita kudhibiti badala ya kusimamia kazi za Sanaa. Asema BASATA hawana Miundombinu ya kuchunguza kama Muziki ni bora au sio bora.