Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Twende kanisani mzee wangu achana na ndugu zake diamondBasata ni upuuzi mtupu unaowaonea wasanii
Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita kudhibiti badala ya kusimamia kazi za Sanaa. Asema BASATA hawana Miundombinu ya kuchunguza kama Muziki ni bora au sio borwa
Waheshimiwa wabunge mnakoelekea msije kupitisha sheria kuhalalisha ushoga maana mnataka kuwaridhisha wanamuziki wahuni na wasio na maadili. Nyimbo za sasa zimejaa mashairi ya matusi na ngono wazi wazi. Watoto wanasikiliza na kuimba aibu tupu. Basata kazeni uzi kudhibiti nyimbo zisizo na maadiliMbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita kudhibiti badala ya kusimamia kazi za Sanaa. Asema BASATA hawana Miundombinu ya kuchuniguza kama Muziki ni bora au sio bora.
Baraza linaweza kuwa quasi judicial body kama yalivyo mabaraza ya ardhi yankata na wilaya.Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao
Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita kudhibiti badala ya kusimamia kazi za Sanaa. Asema BASATA hawana Miundombinu ya kuchunguza kama Muziki ni bora au sio bora.