Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Wewe umelipia VIP?? Nimeona kwa macho yangu wakifanya
Betty OUT. huyu betty alikuwa akiwachukia waTZ(feza na nando).bora katoka. Bolt yeye ni next week zamu yake. ningefrahi kama wangetoka wote wawili betty &bolt
VIP sina jamani....basi kama wamefanya daaah....maskini Selly atakuwa anajutia...dats why Nando was alikuwa anasema he is worried that someone heard...sasa I was not sure ni nini...
Hata mimi nimefurahi sanaaaa...mpaka IK kamuuliza kwanini alikuwa hapatani na Feza...halafu hajaamini katoka coz anajibu maswali kwa mkato huyo
Uhhhhuuuuhhh m so dad for Motama, she is such a sweet lady......lakini BBA kuna watu wanawaonesha sana na wengine kama wanawazima vile, motama kwenye highlight zake anaonekana alikuwa very interactive, asingekuwa wa kuondoka wiki hii kama angetendewa haki, ila kutooneshwa kwake ndo kumemharibia mdada wa watu....poor her
wote wanao comment hapa ni premium members wa dstv na wanalipa 76 usd per month,,hivi unadhani hiyo pesa wanaokota?so kabla ya kusema wana muda wa bure wa kufuatilia bba,jiulize wanatafutaje pesa??,,
wote wanao comment hapa ni premium members wa dstv na wanalipa 76 usd per month,,hivi unadhani hiyo pesa wanaokota?so kabla ya kusema wana muda wa bure wa kufuatilia bba,jiulize wanatafutaje pesa??,,
Mbona povu linakutoka mkuu na huo muda wa kuangalia huo upuuz na biashara unaupata vipi? Unaweza ukawa na degree ya vyuo vya kata C.B.E halafu kumbe umeGraduate juzi tu '09? Mi miaka miwili nyuma yako.
Ulivyokua unaiadithia mi nilizani bi.dada kumbe dume?
Endelea kuangalia TV ya baba.
Ha ha ha njoo kule jukwaa la sheria na matatizo yako ntakusaidia kibaya sana hujui hata profession yangu kaulize km cbe wanatoa sheria ulivyo poyoyo hata ishu za high learning utata hapa mdada nani kati yangu na ww unajishugulisha na watu wasio na tym na ww? Bas karibu sana bwana bwana mdgo ddnt knew uko bi se.. Umenunaaaa????
sory mleta mada.hayo ni majina ya viwavi jeshi au?ni wadudu gani hao?!Jamani BBA mnaifwatilia.....Feza mapenzi sasa yaamia kwa Oneal baada ya kuona Elikem ni playboy....Nando naye kama kampotezea Dillish...
Endelea kuangalia upuuzi kwenye TV ya nyumbani huku ukigombania Remote Control na dada zako na taaluma yako sheria ya vyeti na hiyo IQ yako inanipa wasiwasi. Unajua kwanini sikumjibu yule dada Pretty? ni haki yake kuangalia sio wewe kutwa nzima umeweka PUMB.u zako kwenye TV kuwaangalia,,,By the way Elimu yako haikusaidii.
Mbona povu linakutoka mkuu na huo muda wa kuangalia huo upuuz na biashara unaupata vipi? Unaweza ukawa na degree ya vyuo vya kata C.B.E halafu kumbe umeGraduate juzi tu '09? Mi miaka miwili nyuma yako.
Ulivyokua unaiadithia mi nilizani bi.dada kumbe dume?
Endelea kuangalia TV ya baba.
sory mleta mada.hayo ni majina ya viwavi jeshi au?ni wadudu gani hao?!
jibu swali langu kwanza binti.mbona povu jingi....who the hell are they?Inaonyesha ni jinsi gani wewe ni mtu wa kale na TV yako ya chogo uko tandale hata DSTV ukifunga itagoma...ha ha ha..WTF
Inaonyesha ni jinsi gani wewe ni mtu wa kale na TV yako ya chogo uko tandale hata DSTV ukifunga itagoma...ha ha ha..WTF
Inaonyesha ni jinsi gani wewe ni mtu wa kale na TV yako ya chogo uko tandale hata DSTV ukifunga itagoma...ha ha ha..WTF