Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The only thing more frustrating than slanderers is to listen to the fools.
― Criss Jami
Any fool can criticize, condemn and complain--and most do.
― Dale Carnegie
Kwa maneno hayo I berg to leave......kichaa akikunyang'anya nguo wakati unaoga hupaswi kumkimbiza coz unapomkimbiza watu wakiwaona njiani watasema tuliwaona vichaa vawili wakikimbizana.....kwa msingi huu nimeamua kukuacha kichaa original uendelee. Ukimaliza utatulia. Kama kweli akili za kuazima unazo (najua za kuzaliwa huna) nadhani utakuwa umenisoma.
Angelo,Bimp,Cleo,Fatima,Hakeem,Nando;Pokello are possible for eviction this week. je nan kutoka?
Pokello and Angelo are my worst contestants ever.. Watoke tu uyo angelo is so boring a living zinjathropas, pokel too much classy, arrogant and bossy
Bora kaMaria kametoka tho ningependa Saxophone a.k.a mdomo wa bata Pokello atoke first.
Maria alikuwa anaongea saaana labda kwavile spendagi watu wanaoongea kupita kiasi.
Mara kanajisifu kuwa kako controversial hata kwao Namibia eti wanakawekea mabeef mara oh! Ngoja tuone swaps za leo kwenye nominations sanjari na dhifa ya Rais Obama mida hiyo. Ntakuwa tu bize kuhamisha channel Mama Nspitwe mie
Eti anajiita soldier,ukisoma comment za fans wake eti wanadai ana swagger za kufa m2 katika mavaz mi hata siyaon akivuta ule mdomo na lipstick sasa ka k ya chimpanzee.Hhahahaaaa...ila pokello jamani...balaa...yani anajeuri na full kujiamini...sijui watu wanampendea nini
Nimeskia betty kashtakiwa huko kwao ethiopia kwa aliyoyafanya BBA kwa anayejua zaid anaweza kunijuza sababu kwann???????
ni lawyers wa huko ethiopia wanaungana wanataka kumsue because why did she do SEX in public(yaan zile camera). wanasema if found guilty then she can be locked in prison for at least 6 yrs
Na wamfunge tu!
Yani this week anatoka Natasha na Selly....mbona huyu. Pokello hatoki jamani
I wish nando/feza/pokello to take da prize,,,
@dis Particular Juncture My top 10 are Sulu(Suluinternational) Angelo,Basey,Natasha,Delish,Nando,Pokelo,Melvin,Bimp n Bevely.I wish Sulu to Take ze Grande Prize.