FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

“The only thing more frustrating than slanderers is to listen to the fools.”
― Criss Jami
“Any fool can criticize, condemn and complain--and most do.”
― Dale Carnegie
Kwa maneno hayo I berg to leave......kichaa akikunyang'anya nguo wakati unaoga hupaswi kumkimbiza coz unapomkimbiza watu wakiwaona njiani watasema tuliwaona vichaa vawili wakikimbizana.....kwa msingi huu nimeamua kukuacha kichaa original uendelee. Ukimaliza utatulia. Kama kweli akili za kuazima unazo (najua za kuzaliwa huna) nadhani utakuwa umenisoma.

bonge la like
 
Bora kaMaria kametoka tho ningependa Saxophone a.k.a mdomo wa bata Pokello atoke first.
Maria alikuwa anaongea saaana labda kwavile spendagi watu wanaoongea kupita kiasi.

Mara kanajisifu kuwa kako controversial hata kwao Namibia eti wanakawekea mabeef mara oh! Ngoja tuone swaps za leo kwenye nominations sanjari na dhifa ya Rais Obama mida hiyo. Ntakuwa tu bize kuhamisha channel Mama Nspitwe mie
 
Nomination za leo nimezipenda aje....wise decision by melvin and elikem
 
Angelo,Bimp,Cleo,Fatima,Hakeem,Nando;Pokello are possible for eviction this week. je nan kutoka?
 
Pokello and Angelo are my worst contestants ever.. Watoke tu uyo angelo is so boring a living zinjathropas, pokel too much classy, arrogant and bossy
 
Pokello and Angelo are my worst contestants ever.. Watoke tu uyo angelo is so boring a living zinjathropas, pokel too much classy, arrogant and bossy

Hahhahaaa...eti leavin zinjathropus...lol..mi namuonea huruma bana....mi nahisi anatoka hakeem na fatima
 
Bora kaMaria kametoka tho ningependa Saxophone a.k.a mdomo wa bata Pokello atoke first.
Maria alikuwa anaongea saaana labda kwavile spendagi watu wanaoongea kupita kiasi.

Mara kanajisifu kuwa kako controversial hata kwao Namibia eti wanakawekea mabeef mara oh! Ngoja tuone swaps za leo kwenye nominations sanjari na dhifa ya Rais Obama mida hiyo. Ntakuwa tu bize kuhamisha channel Mama Nspitwe mie

Hhahahaaaa...ila pokello jamani...balaa...yani anajeuri na full kujiamini...sijui watu wanampendea nini
 
Jamani wenye VIP....eti feza na Oneal walinanilii on saturday......
 
Hhahahaaaa...ila pokello jamani...balaa...yani anajeuri na full kujiamini...sijui watu wanampendea nini
Eti anajiita soldier,ukisoma comment za fans wake eti wanadai ana swagger za kufa m2 katika mavaz mi hata siyaon akivuta ule mdomo na lipstick sasa ka k ya chimpanzee.
 
Nimeskia betty kashtakiwa huko kwao ethiopia kwa aliyoyafanya BBA kwa anayejua zaid anaweza kunijuza sababu kwann???????
 
Nimeskia betty kashtakiwa huko kwao ethiopia kwa aliyoyafanya BBA kwa anayejua zaid anaweza kunijuza sababu kwann???????

ni lawyers wa huko ethiopia wanaungana wanataka kumsue because why did she do SEX in public(yaan zile camera). wanasema if found guilty then she can be locked in prison for at least 6 yrs
 
ni lawyers wa huko ethiopia wanaungana wanataka kumsue because why did she do SEX in public(yaan zile camera). wanasema if found guilty then she can be locked in prison for at least 6 yrs

Na wamfunge tu!
 
Yani this week anatoka Natasha na Selly....mbona huyu. Pokello hatoki jamani
 
Yani this week anatoka Natasha na Selly....mbona huyu. Pokello hatoki jamani

Nimempenda sana Melvin. Kati ya Natasha pokello au selly one must leave. Kura zote za EA anapata Anabell, nigeria, S. Leone, Namibia, i gues na Botswana anapata Melvin. Natasha pokello na selly watapata moja moja toka nchini kwao wanabaki ethiopia, angola, South Africa na Rest of Africa hawa ndo wakuamua nani atoke nani abaki thou nahisi SA watampa melvin.
 
I wish nando/feza/pokello to take da prize,,,

@dis Particular Juncture My top 10 are Sulu(Suluinternational) Angelo,Basey,Natasha,Delish,Nando,Pokelo,Melvin,Bimp n Bevely.I wish Sulu to Take ze Grande Prize.
 
@dis Particular Juncture My top 10 are Sulu(Suluinternational) Angelo,Basey,Natasha,Delish,Nando,Pokelo,Melvin,Bimp n Bevely.I wish Sulu to Take ze Grande Prize.

Natasha ameondoka, top ten yangu ni Mervin, Oneal, Dillish, Angello, Sulu, Feza, Nando, Bimp, Beverly and Cleo. Mervin may take the prize. the man is cool naona anatumia uzoefu alioupata kwenye Guilder Star Search
 
Back
Top Bottom