Fezza Kessy ajinadi live live

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
896
Reaction score
1,435
Mmeyasikia fezzakessy anayo yasema uko insta kwamba yeye ni mzuri kuliko beyonce,beyonce kamzidi pesa na kuimba ila kwa uzuri ata subiri sana
Fezzakessy anadai yeye ni mzuri kuliko wanawake wote duniani,ajaona mwanamke mrembo na mzuri kuliko yeye,prianca chopra kidogo ndo walau atakaribia uzuri wa fezzakessy.
 
Ukute alivuta huku ananuia, bangi nibangue nijione mzuri kupita wanawake wote.
We na wewe huna tofauti nae mana hujielewi!
Sasa bangi imeingia vipi apo?

Bangi wamevuta wakina Bob Marley, Tosh, lucky Dube, Fidel Castro ,Guevarra na mpaka leo wamekufa na heshima zao duniani....
wewe mtu anapigika na ugumu wa maisha unasema bangi imesababisha?

Freedom from Mental Slavery inahitajika aisee mnaishi enzi za ujima bado eti kila kitu kibaya mnasingizia bangi......

Okay bangi iko ivi ukiwa boya ukavuta na utazidi kua boya na ukiwa mjanja ukavuta unazidi kua mjanja. It's that simpo...so ukiona amevuta halafu kanya kajaza jua huyo ni kichwa panzi hata akinywa pombe ataishia kujamba jamba.

Pumbavu kweli
 

Mkuu naomba unisamehe kwa kukukwaza.

Nafuta kauli yangu.
 
Mkuu umekunywa chai kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…