Pastor lazima achaniwe mkekaUmekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] carasco unaznguaaSiwez kutunza siri Labda anipe nimle mbususu bila hvyo fridge langu haligandishi
Nakazia hapaInategemea na siri. Unakutana na mke wa mshkaji anajiuza Lodge au kwenye mitandao ni bora kuokoa maisha ya mwana. Mwambie ukweli ila maamuzi mwachuie yeye ila usiwaambie watu wengine.
Kuna vitu pia sio kuficha siri bali inakua ni unafki. Unajua kitu ambacho ni kibaya na husemi na kinaendelea kuadhiri watu huo ni unafki na ikatokea watu wakajua ulikua unajua ni mbaya sana.
Kuna siri za kifamilia, siri za kibiashara, mtu kakueleza jambo lake umshauri hivyo hutakiwi kuzisema.
Yamekukuta nnJitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu
Umekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme popote baki iwe Siri yako kuna Siri unatakiwa kwenda nazo kaburini
Una rafiki au ndugu akakuamini kukupa Siri zake jitahidi saana kuficha usiongee ongee kwa watu, hata kama mkigombana tunza Siri zake kuzianika hakutakufanya uwe shujaa baki nazo
Una mpenzi akakueleza Siri zake zitunze ndugu yangu
Kwenye paragraph ya kwanza hapana kabisa, ukimkuta mke wa mtu anafanya uhuni tangaza, piga tarumbeta ..........ila kama ni mama ambaye sijui kama ameolewa au la hapo nakaa kimya.Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu
Umekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme popote baki iwe Siri yako kuna Siri unatakiwa kwenda nazo kaburini
Una rafiki au ndugu akakuamini kukupa Siri zake jitahidi saana kuficha usiongee ongee kwa watu, hata kama mkigombana tunza Siri zake kuzianika hakutakufanya uwe shujaa baki nazo
Una mpenzi akakueleza Siri zake zitunze ndugu yangu
Tresor MandalaTatizo mafreezer ya wengi compressor zimekufa....Hayagandishi
Kwa nini umemwita mywangu Tresor Mandala kafanyaje?