Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu
Umekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme popote baki iwe Siri yako kuna Siri unatakiwa kwenda nazo kaburini
Una rafiki au ndugu akakuamini kukupa Siri zake jitahidi saana kuficha usiongee ongee kwa watu, hata kama mkigombana tunza Siri zake kuzianika hakutakufanya uwe shujaa baki nazo
Una mpenzi akakueleza Siri zake zitunze ndugu yangu