Ficha aibu za watu

Ficha aibu za watu

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu

Umekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme popote baki iwe Siri yako kuna Siri unatakiwa kwenda nazo kaburini

Una rafiki au ndugu akakuamini kukupa Siri zake jitahidi saana kuficha usiongee ongee kwa watu, hata kama mkigombana tunza Siri zake kuzianika hakutakufanya uwe shujaa baki nazo

Una mpenzi akakueleza Siri zake zitunze ndugu yangu
 
Inategemea na siri. Unakutana na mke wa mshkaji anajiuza Lodge au kwenye mitandao ni bora kuokoa maisha ya mwana. Mwambie ukweli ila maamuzi mwachuie yeye ila usiwaambie watu wengine.

Kuna vitu pia sio kuficha siri bali inakua ni unafki. Unajua kitu ambacho ni kibaya na husemi na kinaendelea kuadhiri watu huo ni unafki na ikatokea watu wakajua ulikua unajua ni mbaya sana.

Kuna siri za kifamilia, siri za kibiashara, mtu kakueleza jambo lake umshauri hivyo hutakiwi kuzisema.
 
Nakazia hapa
 
Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu

Umekutana na mtu wa dini maeneo tatanishi funga bakuli lako usiseme popote baki iwe Siri yako kuna Siri unatakiwa kwenda nazo kaburini

Una rafiki au ndugu akakuamini kukupa Siri zake jitahidi saana kuficha usiongee ongee kwa watu, hata kama mkigombana tunza Siri zake kuzianika hakutakufanya uwe shujaa baki nazo

Una mpenzi akakueleza Siri zake zitunze ndugu yangu
Yamekukuta nn
 
Kwenye paragraph ya kwanza hapana kabisa, ukimkuta mke wa mtu anafanya uhuni tangaza, piga tarumbeta ..........ila kama ni mama ambaye sijui kama ameolewa au la hapo nakaa kimya.
 
Tatizo mafreezer ya wengi compressor zimekufa....Hayagandishi
 
Back
Top Bottom