bila kuwasahauHawa watu walioingia jf juzijuzi hawawezi kukuelewa enzi hizo kina mwl.rtc shy sharobaro n.k
Walikuwa watoa mautundu kule jf store
mimi pia niliwahi kufurahia hiyo huduma kwa kutumia tunnel guru vpn sema haya mabus ya kabang na kijani walikuja kuzuia na mimi ndo ukawa mwisho wangu.
wewe baki kusema does not make sense Wenzio wanafurahia unlimited data with 0 balance na 0mbMimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).
Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?
Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.
Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?
That does not make sense.
Sema niliacha kutumia kitambo hivi bado inafanya kazi kweli
hakuna linaloshindikana chini ya jua mkuu, ila tricks nyingine kabisa.Sema niliacha kutumia kitambo hivi bado inafanya kazi kweli
HahahahahahahaNimependa hako kaneno ....."eiza"
Kiswahili kinakua
Aisee ni kweli...ila Kiswahili kama lugha ni ngumu aiseee, sasa na waswahili wenyewe mweeeeee... Ni nomaaaaaa.Hahaha.
Halafu watu wengi wanachanganya neno "aidha" la Kiswahili, lenye maana "zaidi" au "pia" na neno "either" la kiingereza, lenye maana "ama".
This is next to impossiblewewe baki kusema does not make sense Wenzio wanafurahia unlimited data with 0 balance na 0mb
Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each
[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku
But No one force you to believeThis is next to impossible
Mkuu huu uzi mbona haufunguki How to scan for Free OpenWAKUU kwa heshima na taadhima, nawaomba kidogo mpitie hizi threads za miaka ya nyuma za hapa JF ili mueweze kuelewa, japokuwa hizi tricks kwa sasa hazifanyi kazi
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Kuifanya cproxy kuwa kama pd-proxy
Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn
pd proxy na tunnel guru ipi bora
Jipatie: PD PROXY PREMIUM ACCOUNT
VPN gani nzuri niweze tumia net bure
PD-Proxy VPN Service
How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet
Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)
halafu kingine wakongwe na wataalamu wengi wamelikimbia hili jukwaa sio kama zamani
Soma mtiririko. Usidandie treni kwa mbele.wewe baki kusema does not make sense Wenzio wanafurahia unlimited data with 0 balance na 0mb
Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each
[TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku
kunakuwa na ports ambazo hazijafungwa, vpn yenyewe inatumia hizo ports, hivyo matumizi yako yote yanapitishwa kwenye hizo ports.Mimi natumia VPN kila siku. Primarily kwa ajili ya data encryption ya internet connection yangu (my own subscribed VPN) au nikiwa nafanya kazi kutoka nyumbani (my office VPN).
Ninachotaka kujua huyu anayesema anapata free internet kwa VPN, ana connect kwenye VPN kwa kutumia nini?
Mimi nahitaji internet connection kwanza ili kuconnect kwenye VPN.
Sasa kwa maelezo ya mtoa mada ninkama anatuambia anatumia VPN ku connect kwenye network? How dies he cinnect to the VPN without having an internet connection?
That does not make sense.
hamna aliyesema bure mkuu hizo voucher zinalipiwa na kuna mawakala wake hata humu ndani.Soma mtiririko. Usidandie treni kwa mbele.
Sina falsafa ya kupenda bure maishani mwangu.