Ficheni nyaraka za kununua wapinzani, mgombea wangu hana breki

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.

Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.

Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.

Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
 
CCM kwenye hili hatuwezi kuwasamehe hata kidogo...

Hii biashara iliwauma wengi mno hasa wana CCM wenyewe ambao majibu wameshatoa kwenye kura za maoni.

Sasa timbwili litakokea iwapo hawa jamaa watabebwa tena for the 2nd time wakati wa uteuzi....CCM kundi la wafia chama wameapa hawatakubali safari hii..

Huu ni uhuni ndani ya chama tena wa waziwazi.
 
Inasikitisha kwamba ubunge siku hizi unanunuliwa na ccm. Kumbe!
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.

Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.

Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.

Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Kinachonunuliwa ni ubunge siyo mtu bwashee!
Exactly, tumekaa mkao wa kula tu hapa.
Hii inadhibitisha kuwa ni kweli kuwa kuna udiwani na ubunge ulinunuliwa
Hiyo pesa ya ununuzi wa ubunge nani alilipwa kama si mbunge husika?
 
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.

Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.

Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.

Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Ni ufisadi mkubwa
 
Ha ha ha ha Sasa unadhani nani ataonekana boya, hao wanaonunulika au walionunua. Hata hao waliobaki kwa lugha nyingine wanna bei sema tu wanunuaji hawakafika bei teh teh teh teh.
Kama Pole Pole anaweza kuwanunua kirahisi hivo, mkipewa Nchi itakuwaje teh teh teh mnavituko nyie Wanna TANAPA
 
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.

Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.

Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.

Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Na baada ya uchaguzi aendelee hivyo kutoa kashfa tuone Kama ajaozea jela
 
Back
Top Bottom