Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Hii inadhibitisha kuwa ni kweli kuna udiwani na ubunge ulinunuliwaKinachonunuliwa ni ubunge siyo mtu bwashee!
Hiyo pesa ya ununuzi wa ubunge nani alilipwa kama si mbunge husika?Kinachonunuliwa ni ubunge siyo mtu bwashee!
Kwani mtu akiuza ubunge wake wewe kinakuuma nini?Hii inadhibitisha kuwa ni kweli kuwa kuna udiwani na ubunge ulinunuliwa
Kwani wakati anagombea ulimchangia gharama za kampeni?Hiyo pesa ya ununuzi wa ubunge nani alilipwa kama si mbunge husika?
Sisi tutakuwa bize kueneza Sera zetu,mwaka huu tuna kitabu kinene kidogo,ninyi hangaikeni na mabomuKwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.
Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.
Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.
Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Kinachonunuliwa ni ubunge siyo mtu bwashee!
Exactly, tumekaa mkao wa kula tu hapa.
Hii inadhibitisha kuwa ni kweli kuwa kuna udiwani na ubunge ulinunuliwa
Hiyo pesa ya ununuzi wa ubunge nani alilipwa kama si mbunge husika?
Ni ufisadi mkubwaMuda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.
Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.
Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.
Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Ha ha ha ha Sasa unadhani nani ataonekana boya, hao wanaonunulika au walionunua. Hata hao waliobaki kwa lugha nyingine wanna bei sema tu wanunuaji hawakafika bei teh teh teh teh.Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.
Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.
Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.
Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Kaa kimya hujui unachoongea.Kinachonunuliwa ni ubunge siyo mtu bwashee!
Na baada ya uchaguzi aendelee hivyo kutoa kashfa tuone Kama ajaozea jelaMuda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.
Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.
Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa upinzani. Haiwezekani mnajitapa kupambana na rushwa halafu mnanunua watu kama bidhaa. Haiwezekani mnajitaka mna uchungu na mali ya umma,halafu mnanunua watu na kurudia uchaguzi kuingiza nchi kwenye hasara ya mabilioni kwa chaguzi zisizo na tija.
Kwenye uchaguzi huu mtabaki kukanusha mikashfa tuu zitakazowekwa hadharani siku baada ya siku
Sasa hivi mmeghairi kumfunga tarehe 28/8/2020? Guseni hilo bomu muone utamu wake. Be warned.Na baada ya uchaguzi aendelee hivyo kutoa kashfa tuone Kama ajaozea jela