Fid Q aumwagia sifa wimbo mpya wa Joh Makini

Hujui hata ulicho post...
Hujui nini unachokipinga...sikulaumu pengine ukuelewa lugha iliyotumika.

"Ni kitu cha kustusha kweli kweli ukizingatia kumekuwa na kile kinachoonekana bifu kwa zaidi ya miaka 10 Kati yao"

Soma tena kwa utulivu.
 
Umekuza sana arif, cos sijaona mahali alipousifia huo wimbo. Kuonyesha kwake support ni ukomavu, na ilikuwa issue ya muda tu, cos naona hawa jamaa wana mutual friend in AY.

That chorus still sounds awfully corny and wack. And the video.....dice rolling and what not, scream some sucka emcee vibes. Sucks to criticize my fav rapper, but somebody gotta do it.
Aiseee punguza jazba jamaa.

"Waya kutoka kwa Mwamba wa kaskazini....Nenda kajionee maunyama" kama hizi sio sifa ni kitu gani?!

Nilichoelewa ni kuwa kaonyesha sapoti kwa kitu alichokikubali.
 
Kasalimu amri. ..joh yupo viZuri nawdays...ingawa hata ngosha yupo Poa
 
Sijui kwa nini mnaipa prooomo hiyo ngoma mi nmpenzi wa nyimbo za Joh tangu alipoanza kubadilika kidogo kwenye nusu nusu perfect combo pale kati lakini hii waya hapana nyimbo ya kawaida sana.
NB: kizuri kinajiuza...
 
Watu wanalia ngoma mbovu but tangu umeachiwa Joh Makini mdio msanii anajadiliwa kuliko wote hapa JF,tangu mwaka uanze wasanii wafuatao wametoa track

Navy Kenzo
MwanaFa
Bill Nas
God Zilla
Q Chilla
Niki Mbishi
ROMA
Young Killa
Only Joh Makini ndio anatrend hapa JF
 
Aiseee punguza jazba jamaa.

"Waya kutoka kwa Mwamba wa kaskazini....Nenda kajionee maunyama" kama hizi sio sifa ni kitu gani?!

Nilichoelewa ni kuwa kaonyesha sapoti kwa kitu alichokikubali.

Jifunze kusoma na kuelewa bob, "kajionee" na sio kasikilize. Anahamasisha ukaangalie ufundi kwenye video, ambapo kimsingi ana-promote au kusifia kazi ya muongozaji. Do you follow?
 
The issue ni kwamba huko nyuma hajawahi kufanya kitu kama hicho .Siku hizi ni ngumu sana watu kusifia kazi ya msanii hata iwe vipi ukiacha track ya Darasa kwa zaidi ya miaka 2 sijawahi ona msanii ametoa track ikakubalika
 
Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?

Ujawahi kuona Tuzo za video bora....ile Award huwa unapewa msanii au director wa ile video?!

Msanii anapobeba Tuzo ya Wimbo bora hiyo award anapewa producer au msanii?!

Usielete mabishano kwenye vitu vya wazi jamaa.
 
Mkuu hapa umeidhinisha kuwa wewe ni hater.
Umeonyesha malice kwenye haya maoni yako bila wewe mwenyewe kupenda umejijuta tu umefunguka ya moyoni;

Yani unathubutu kusema Fid Q ameshare hii nyimbo ya Waya kwakuwa anamkubali muongozaji wa video ya hii nyimbo? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Kuna mstari amesema wapinzani maji ya shingo.[emoji12] [emoji12]

Na nikivuta waaaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?

Ujawahi kuona Tuzo za video bora....ile Award huwa unapewa msanii au director wa ile video?!

Msanii anapobeba Tuzo ya Wimbo bora hiyo award anapewa producer au msanii?!

Usielete mabishano kwenye vitu vya wazi jamaa.
Mkuu huyo jamaa ni hater na kazi ya hater ni ku-hate.
 
Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?

Ujawahi kuona Tuzo za video bora....ile Award huwa unapewa msanii au director wa ile video?!

Msanii anapobeba Tuzo ya Wimbo bora hiyo award anapewa producer au msanii?!

Usielete mabishano kwenye vitu vya wazi jamaa.

Boy oh boy, kuelewa ni tatizo kubwa sana. Nimesema Fid kasifia au ku-promote KAZI ILIYOFANYIKA KWENYE VIDEO, ambapo credits ni kwa muongozaji(yeyote na wote waliohusika kuongoza, Joh akiwemo pia kama alihusika).

Nilijibu ulipomaanisha Fid kasifia wimbo. Na kuna kujadili na kubishana, jifunze tofauti.
 
Fid kafanya vyema kutoa support kwa mwana lakini huu wimbo sio mkali kabisa..........

Umeona eeeh.Huu wimbo NI kama Uzuri wa mwanamke: uzuri uko kwenye jicho la mpenda.
Labda video imbebe maana hamna kitu pale.
 
The issue ni kwamba huko nyuma hajawahi kufanya kitu kama hicho .Siku hizi ni ngumu sana watu kusifia kazi ya msanii hata iwe vipi ukiacha track ya Darasa kwa zaidi ya miaka 2 sijawahi ona msanii ametoa track ikakubalika

Ndiyo maana nime-acknowledge ukomavu wa Fid, which nikiunganisha dots na maoni ya AY(ambaye ni mshkaji wa hawa jamaa wote) kuhusu Joh kuwa rapper bora kwa sasa, naanza kupata picha kamili.

Kimsingi Fid hajasifia kazi ya Joh, ame-support na kuhamasisha watu wakatazame video. Hajatoa maoni yoyote according to screenshot attached above.
 
Back
Top Bottom