Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkuu punguza jazba alafu weka clip ya Joh akimdis huyo fid.joh ndo huwa dzain ana sly digs kwa fid,mara ooh mistari ya kwenye vitabu,matokeo yake anatuletea mistar ya ukoko,mbwa koko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu punguza jazba alafu weka clip ya Joh akimdis huyo fid.joh ndo huwa dzain ana sly digs kwa fid,mara ooh mistari ya kwenye vitabu,matokeo yake anatuletea mistar ya ukoko,mbwa koko
sijakuelewaBasi tulia dozi ikuingie maana tayari ashajikoki
Mkuu wewe kuwa karibu na choo unye tangu asubuhi hadi usiku [emoji23] [emoji23]Wa kubebwa huyo yuko Karibu na media hatar
Hujui nini unachokipinga...sikulaumu pengine ukuelewa lugha iliyotumika.Hujui hata ulicho post...
Aiseee punguza jazba jamaa.Umekuza sana arif, cos sijaona mahali alipousifia huo wimbo. Kuonyesha kwake support ni ukomavu, na ilikuwa issue ya muda tu, cos naona hawa jamaa wana mutual friend in AY.
That chorus still sounds awfully corny and wack. And the video.....dice rolling and what not, scream some sucka emcee vibes. Sucks to criticize my fav rapper, but somebody gotta do it.
Ngoja kwanza nivute waya, utaelewa tusijakuelewa
Aiseee punguza jazba jamaa.
"Waya kutoka kwa Mwamba wa kaskazini....Nenda kajionee maunyama" kama hizi sio sifa ni kitu gani?!
Nilichoelewa ni kuwa kaonyesha sapoti kwa kitu alichokikubali.
The issue ni kwamba huko nyuma hajawahi kufanya kitu kama hicho .Siku hizi ni ngumu sana watu kusifia kazi ya msanii hata iwe vipi ukiacha track ya Darasa kwa zaidi ya miaka 2 sijawahi ona msanii ametoa track ikakubalikaJifunze kusoma na kuelewa bob, "kajionee" na sio kasikilize. Anahamasisha ukaangalie ufundi kwenye video, ambapo kimsingi ana-promote au kusifia kazi ya muongozaji. Do you follow?
Wewe jamaa utakuwa mchawiFid kafanya vyema kutoa support kwa mwana lakini huu wimbo sio mkali kabisa..........
Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?Jifunze kusoma na kuelewa bob, "kajionee" na sio kasikilize. Anahamasisha ukaangalie ufundi kwenye video, ambapo kimsingi ana-promote au kusifia kazi ya muongozaji. Do you follow?
Mkuu hapa umeidhinisha kuwa wewe ni hater.Jifunze kusoma na kuelewa bob, "kajionee" na sio kasikilize. Anahamasisha ukaangalie ufundi kwenye video, ambapo kimsingi ana-promote au kusifia kazi ya muongozaji. Do you follow?
Mkuu huyo jamaa ni hater na kazi ya hater ni ku-hate.Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?
Ujawahi kuona Tuzo za video bora....ile Award huwa unapewa msanii au director wa ile video?!
Msanii anapobeba Tuzo ya Wimbo bora hiyo award anapewa producer au msanii?!
Usielete mabishano kwenye vitu vya wazi jamaa.
Sasa huo ufundi wa kwenye video umefanywa na muongozaji wa video peke yake bila Joh Makini!?
Ujawahi kuona Tuzo za video bora....ile Award huwa unapewa msanii au director wa ile video?!
Msanii anapobeba Tuzo ya Wimbo bora hiyo award anapewa producer au msanii?!
Usielete mabishano kwenye vitu vya wazi jamaa.
Fid kafanya vyema kutoa support kwa mwana lakini huu wimbo sio mkali kabisa..........
The issue ni kwamba huko nyuma hajawahi kufanya kitu kama hicho .Siku hizi ni ngumu sana watu kusifia kazi ya msanii hata iwe vipi ukiacha track ya Darasa kwa zaidi ya miaka 2 sijawahi ona msanii ametoa track ikakubalika
mi siku hz si shabik wa joh,ila kuna wimbo au interview alikua anadis fid 'mistar ya kukopi kwenye vitabu' fid akajibu anaedhan kaerevuka hasomi vitabu basi ...Mkuu punguza jazba alafu weka clip ya Joh akimdis huyo fid.