Fid q awaomba radhi wasafi asema alikuwa hajielewi na awezi kuwa kinyume na Clouds media

Kuomba msamaa kwa fid q haitafanya isaulike shit alioitema babu talent

Hii unapata kuona unakua na rafik lakn mkipishana kiswahil tu anakuweka uchi
Wabongo tujifunze kwa hili
 
Well said Mkuu, na hapo ndipo wasanii wanapokosea na mwisho inakula kwao, hawajui nafasi zao kama wasanii, wanashindwa kujijenga na kuamini nguvu ya vipaji vyao na kuweza kujisimamia wao wenyewe.
Yah wasanii inabidi wabaki neutral maana wasichague upande in the long run hata hao WCB inaweza turn out wakawa kama clouds tu maana babu tale na Sallam Sk nao si wale wale tu. So wabaki neutral wapige ela kote kote
 
Nawe unaonekana una tabia ya kushadadia vimaneno
 
Yah wasanii inabidi wabaki neutral maana wasichague upande in the long run hata hao WCB inaweza turn out wakawa kama clouds tu maana babu tale na Sallam Sk nao si wale wale tu. So wabaki neutral wapige ela kote kote
Upo sahihi Sana mkuu kwenye biashara hakuna rafiki wa kudumu
 
Upo sahihi Sana mkuu kwenye biashara hakuna rafiki wa kudumu
Kabisa mkuu mwanzilishi wa biashara siku zote uwa haanzishi kukufaidisha wewe anaanzisha kujifadisha mwenyewe na kumaximize profit, so wasiwe na upande wabaki neutral kubalance power wasije wakatengeneza monoploy redio nyingine
 
Msukuma mshamba huyu analeta ugomvi wa mawe wakati anaishi nyumba ya vioo umekipata cha moto sasa
 
Nimekuelewa saana mkuu, kwenye maisha kipindi cha utafutaji utakutana na changamoto nyingi saana ila kikubwa ni kukaza roho na kusonga mbele haijalishi wangap watakusapoti
 
Sawa...tungoje respond ya Wasafi...labda Babu tale naye ataomba msamaha kwa kusema jamaa hana gari na analelewa.

Bongo yetu bana....!
Ni kweli kabisa hana na ana lelewa
 
Well said Mkuu, na hapo ndipo wasanii wanapokosea na mwisho inakula kwao, hawajui nafasi zao kama wasanii, wanashindwa kujijenga na kuamini nguvu ya vipaji vyao na kuweza kujisimamia wao wenyewe.
Sagu hii imenifanya nisite kuendelea kuamini kama kweli Fid q ana uwezo mzuri wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…