mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Aliwaita wapumbavu, akasema kazi yao kuiga walichoanzisha wao...Akaiponda wasafi festival kuwa si lolote.kafanyaje bro fid kwani ni wapi alipotukana wasafii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwaita wapumbavu, akasema kazi yao kuiga walichoanzisha wao...Akaiponda wasafi festival kuwa si lolote.kafanyaje bro fid kwani ni wapi alipotukana wasafii
asante sana kwa taarifaAliwaita wapumbavu, akasema kazi yao kuiga walichoanzisha wao...Akaiponda wasafi festival kuwa si lolote.
Yah wasanii inabidi wabaki neutral maana wasichague upande in the long run hata hao WCB inaweza turn out wakawa kama clouds tu maana babu tale na Sallam Sk nao si wale wale tu. So wabaki neutral wapige ela kote koteWell said Mkuu, na hapo ndipo wasanii wanapokosea na mwisho inakula kwao, hawajui nafasi zao kama wasanii, wanashindwa kujijenga na kuamini nguvu ya vipaji vyao na kuweza kujisimamia wao wenyewe.
Akikuonyesha nitag maana hakuna alipotaja jina yani ukisikia hiyo clip na kinachoongelewa utashangaaasante sana kwa taarifa
ni wapi hapo nikasikia mwenyewe ndipo nichangie nami
Kabisa the damage has already been created things will never be the same againKuomba msamaa kwa fid q haitafanya isaulike shit alioitema babu talent
Hii unapata kuona unakua na rafik lakn mkipishana kiswahil tu anakuweka uchi
Wabongo tujifunze kwa hili
Nawe unaonekana una tabia ya kushadadia vimanenoMara kwanza sikuamini kama Fid q kaongea hivi as long mwenyewe kakubali ni kweli alikosea kuwaita mafala ,japokuwa aliweka kimafumbo .Tatizo kubwa la wasanii wa Tanzania hawajiamini SUGU kipindi kile ana fight alionekana kama mtukutu na wasanii wakamtenga,Jide nae kajikakamumua mpaka wasanii wenzake wakamtenga lakini akafanikiwa kufanya mambo yake.
Mondi na WCB nao naona wameamua kujitegemea naona wasanii wenzao nao wanampiga vita.Siku zote hauwezi kuwa ww peke yako,ili uwe bora lazima upewe changamoto.Miaka ya nyuma kulikuwa na watu wanaanda matamasha makubwa kaletwa kanda bongoman,brenda fasie,vyone chakachaka,koffi olomide nk na yakafanyika matamasha makubwa.
Ila walivyokuja hawa CMG wakagundua ,kuna baadhi ya mikoa inakosa burudani na ndio maana wakaja na Fiesta na CMG .Kumbuka hata huko nyuma Radio kubwa zilikuwa Radio One na Radio free wakaja wao wakafanya mapinduzi,Hivyo hivyo nao WCB nao wameona fursa wanatakiwa waitumie na kweli wameitumia ,sioni kosa apo japo kuna watu eti wanasema hawana adabu.
Lakini ukitaka kujua fitina za CMG muulize Majizo(wengine Sugu,Jide),hamna mtu aliyekuwa kapigwa fitina tena fitina za kutatisha tamaa kama Majizo,bahati nzuri jamaa mpambanaji mpaka leo hii nae anatamasha lake la KOMAA CONCERT .Wasanii wanatakiwa kuwa kama service provider kwa haya matamasha na kuhusu ubora wa matamasha waachie waandaaji na si kuwa mashabiki kwani kwao haitawajenga kiuchumi,hivi vijembe vya mafumbo havitawasaidia wawachie waandaaji wao ndo wapigane vijembe.
Upo sahihi Sana mkuu kwenye biashara hakuna rafiki wa kudumuYah wasanii inabidi wabaki neutral maana wasichague upande in the long run hata hao WCB inaweza turn out wakawa kama clouds tu maana babu tale na Sallam Sk nao si wale wale tu. So wabaki neutral wapige ela kote kote
Kabisa mkuu mwanzilishi wa biashara siku zote uwa haanzishi kukufaidisha wewe anaanzisha kujifadisha mwenyewe na kumaximize profit, so wasiwe na upande wabaki neutral kubalance power wasije wakatengeneza monoploy redio nyingineUpo sahihi Sana mkuu kwenye biashara hakuna rafiki wa kudumu
Maneno yapi?unatumia feki ID, alafu unashindwa kuongea, we onyesha nilipo shadadia na uniambie nimeongopa.Nawe unaonekana una tabia ya kushadadia vimaneno
Kwani huko ulihama kwa wadada wenzako?Mi nikajua Instagram saivi ni ya wadada.
Kweny daladala.[emoji41]ambao atuna magari comment zetu zikae wapi
Nimekuelewa saana mkuu, kwenye maisha kipindi cha utafutaji utakutana na changamoto nyingi saana ila kikubwa ni kukaza roho na kusonga mbele haijalishi wangap watakusapotiMara kwanza sikuamini kama Fid q kaongea hivi as long mwenyewe kakubali ni kweli alikosea kuwaita mafala ,japokuwa aliweka kimafumbo .Tatizo kubwa la wasanii wa Tanzania hawajiamini SUGU kipindi kile ana fight alionekana kama mtukutu na wasanii wakamtenga,Jide nae kajikakamumua mpaka wasanii wenzake wakamtenga lakini akafanikiwa kufanya mambo yake.
Mondi na WCB nao naona wameamua kujitegemea naona wasanii wenzao nao wanampiga vita.Siku zote hauwezi kuwa ww peke yako,ili uwe bora lazima upewe changamoto.Miaka ya nyuma kulikuwa na watu wanaanda matamasha makubwa kaletwa kanda bongoman,brenda fasie,vyone chakachaka,koffi olomide nk na yakafanyika matamasha makubwa.
Ila walivyokuja hawa CMG wakagundua ,kuna baadhi ya mikoa inakosa burudani na ndio maana wakaja na Fiesta na CMG .Kumbuka hata huko nyuma Radio kubwa zilikuwa Radio One na Radio free wakaja wao wakafanya mapinduzi,Hivyo hivyo nao WCB nao wameona fursa wanatakiwa waitumie na kweli wameitumia ,sioni kosa apo japo kuna watu eti wanasema hawana adabu.
Lakini ukitaka kujua fitina za CMG muulize Majizo(wengine Sugu,Jide),hamna mtu aliyekuwa kapigwa fitina tena fitina za kutatisha tamaa kama Majizo,bahati nzuri jamaa mpambanaji mpaka leo hii nae anatamasha lake la KOMAA CONCERT .Wasanii wanatakiwa kuwa kama service provider kwa haya matamasha na kuhusu ubora wa matamasha waachie waandaaji na si kuwa mashabiki kwani kwao haitawajenga kiuchumi,hivi vijembe vya mafumbo havitawasaidia wawachie waandaaji wao ndo wapigane vijembe.
Sagu hii imenifanya nisite kuendelea kuamini kama kweli Fid q ana uwezo mzuri wa kufikiriWell said Mkuu, na hapo ndipo wasanii wanapokosea na mwisho inakula kwao, hawajui nafasi zao kama wasanii, wanashindwa kujijenga na kuamini nguvu ya vipaji vyao na kuweza kujisimamia wao wenyewe.
Mimi nimehama wapi?Kwani huko ulihama kwa wadada wenzako?