Fid Q, Darasa, Blue Byser wafanya makubwa show ya Fiesta

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Hey habari zenu wanajukwaa hilii,

Jana niliona hawa Wana Hiphop wakiperform.

Aiseee kati ya wasanii waliopanda na kushangiliwa sanaa kuzidi woteee alikuwa Fid Q. Jamaa hachuji aiseee halafu ana mistari ya kufa mtu. Aiseee pipooo zilifurahii sana.

Akaja Darasa jamanii na ile nyimbo yake ya Too Much ni shiiiidaaaaa, Kama utanipendaa, aisee salute kwako Darasa unajua mchizi wangu!

Kisha akapanda Blue ilikua balaaaaa kitu cha Mboga Saba aisee hawa watu walinipa raha sanaa.

Shishii baby nae hakuwa nyuma kutuchangamsha na kizungu chake na mauno yale kama fenii angalau lakini wengine sikuona kitu.

Ila Fid Q anakubalika jamani kitu cha Mwanza Mwanza, Ngoshaaaaaaaa [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] wasukuma tupo juuu..
 
Dah!kazi kweli kweli, mbona wanasemaga mademu huwa hawahusudu nyimbo za kigumu? wao huwa wanapenda wabana pua? sasa huyu woote aliowataja ukiondoa shilole ni wagumu.
 
Huyo Fid ana jipya lipi!??? Mahaba mengine bana!!!

Nikipata bahati ya kuhudhuria show hizo nitaingia Weusi wanapoanza wakishuka naondoka.

Sijui labda na Bela kidogo.
 
Dah!kazi kweli kweli, mbona wanasemaga mademu huwa hawahusudu nyimbo za kigumu? wao huwa wanapenda wabana pua? sasa huyu woote aliowataja ukiondoa shilole ni wagumu.
Mi napenda sikiliza too much ya Darasa na kma utanipenda
Halaf blue usikilze mboga saba na pesaa,halaf uje uniambiee
 
Huyo Fid ana jipya lipi!??? Mahaba mengine bana!!!

Nikipata bahati ya kuhudhuria show hizo nitaingia Weusi wanapoanza wakishuka naondoka.

Sijui labda na Bela kidogo.
Kati ya wasaanii wotee Fid q alipata shangwee kuonesha wanamkubalii,halaf free style sasa wewewwww
 
Huyo Fid ana jipya lipi!??? Mahaba mengine bana!!!

Nikipata bahati ya kuhudhuria show hizo nitaingia Weusi wanapoanza wakishuka naondoka.

Sijui labda na Bela kidogo.
Kwa fasihi kama chombo cha kutoa burudani weusi wanaweza ila kama chombo cha kutolea elimu Fid Q yupo vizuri. Tafuta wimbi wake aliotoa hivi karibini unaitwa sumu sikiliza maneno na yatilie maanani kwa kutafuta maana yake kifasihi.
 
Siendi show kusoma... Naenda kupata burdani. Mistari migumu hadi kichwa kinauma. Whaat for!!
 
Huyo Fid ana jipya lipi!??? Mahaba mengine bana!!!

Nikipata bahati ya kuhudhuria show hizo nitaingia Weusi wanapoanza wakishuka naondoka.

Sijui labda na Bela kidogo.

Weusi ndo angalau lakn fid q amebaki kukopi vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…