Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hey habari zenu wanajukwaa hilii,
Jana niliona hawa Wana Hiphop wakiperform.
Aiseee kati ya wasanii waliopanda na kushangiliwa sanaa kuzidi woteee alikuwa Fid Q. Jamaa hachuji aiseee halafu ana mistari ya kufa mtu. Aiseee pipooo zilifurahii sana.
Akaja Darasa jamanii na ile nyimbo yake ya Too Much ni shiiiidaaaaa, Kama utanipendaa, aisee salute kwako Darasa unajua mchizi wangu!
Kisha akapanda Blue ilikua balaaaaa kitu cha Mboga Saba aisee hawa watu walinipa raha sanaa.
Shishii baby nae hakuwa nyuma kutuchangamsha na kizungu chake na mauno yale kama fenii angalau lakini wengine sikuona kitu.
Ila Fid Q anakubalika jamani kitu cha Mwanza Mwanza, Ngoshaaaaaaaa [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] wasukuma tupo juuu..