Fid Q, Darasa, Blue Byser wafanya makubwa show ya Fiesta

Kwa fasihi kama chombo cha kutoa burudani weusi wanaweza ila kama chombo cha kutolea elimu Fid Q yupo vizuri. Tafuta wimbi wake aliotoa hivi karibini unaitwa sumu sikiliza maneno na yatilie maanani kwa kutafuta maana yake kifasihi.

Fid q hana elimu yeyote hv kuimba hayo maneno maneno ya kutafuta kwenye vitabu ndo anatoa elimu how ?
 
hiyo sumu ni ngumu sana kama tamaduni labda hii roho ni nzuri inasikilizika
Napenda kidogo na za wabana pua ,ila kwa hip hop nawakubali hawa ukiwaongeza na weusi
wew bidada jamaa yako kamikaze haumkubali tena
 
Mi napenda sikiliza too much ya Darasa na kma utanipenda
Halaf blue usikilze mboga saba na pesaa,halaf uje uniambiee
Daah! lakini katika wanawake ni wachache sana wapo kama wewe ,maana wanawake wengi huwa wanawapenda kina Ben pol,Jux,Diamond,Kiba Barnaba na wengine wanaoimba,lakini wewe umejivika mabomu unapenda za wagumu tu,sema nilichogundua ni kwamba unapenda muziki kwa ujumla na unaujua kwa kuwa unasikliza mashairi na sio muziki tu ili mradi umeimbwa na mwanamuziki anayeshabikiwa na wengi au anayeimba kwa sauti nyororo.
 
Fid q hana elimu yeyote hv kuimba hayo maneno maneno ya kutafuta kwenye vitabu ndo anatoa elimu how ?

Kwani unavyofahamu wewe elimu inapatikana wapi au mtu mwenye elimu yupoje.? Hili ndo tatizo la kukariri kwamba kuwa na elimu ni lazima uhudhurie shule kila siku na uvae uniform.

Sasa ushasema anasoma vitabu kutafuta maneno, elimu ipi uliyoitaka zaidi ya hiyo.?
 
Daah! lakini katika wanawake ni wachache sana wapo kama wewe ,maana wanawake wengi huwa wanawapenda kina Ben pol,Jux,Diamond,Kiba Barnaba na wengine wanaoimba,lakini wewe umejivika mabomu unapenda za wagumu tu,sema nilichogundua ni kwamba unapenda muziki kwa ujumla na unaujua kwa kuwa unasikliza mashairi na sio muziki tu ili mradi umeimbwa na mwanamuziki anayeshabikiwa na wengi au anayeimba kwa sauti nyororo.
Kabisa mpenzi
 
Siendi show kusoma... Naenda kupata burdani. Mistari migumu hadi kichwa kinauma. Whaat for!!
Kama kuna watu walimshangilia sana inamaana kubwa sana kwa wanaopenyeza propaganda mbaya juu ya hiphop yake. It means wanaomuelewa ni wengi.
 
Na ndio maana fid q hua haachwii kila fiesta lazima awepo
 
Back
Top Bottom