Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa fasihi kama chombo cha kutoa burudani weusi wanaweza ila kama chombo cha kutolea elimu Fid Q yupo vizuri. Tafuta wimbi wake aliotoa hivi karibini unaitwa sumu sikiliza maneno na yatilie maanani kwa kutafuta maana yake kifasihi.
Kwa fasihi kama chombo cha kutoa burudani weusi wanaweza ila kama chombo cha kutolea elimu Fid Q yupo vizuri. Tafuta wimbi wake aliotoa hivi karibini unaitwa sumu sikiliza maneno na yatilie maanani kwa kutafuta maana yake kifasihi.
hiyo sumu ni ngumu sana kama tamaduni labda hii roho ni nzuri inasikilizikaKwa fasihi kama chombo cha kutoa burudani weusi wanaweza ila kama chombo cha kutolea elimu Fid Q yupo vizuri. Tafuta wimbi wake aliotoa hivi karibini unaitwa sumu sikiliza maneno na yatilie maanani kwa kutafuta maana yake kifasihi.
wew bidada jamaa yako kamikaze haumkubali tenaNapenda kidogo na za wabana pua ,ila kwa hip hop nawakubali hawa ukiwaongeza na weusi
MremboooSitojali shida ulizobebaa
Daah! lakini katika wanawake ni wachache sana wapo kama wewe ,maana wanawake wengi huwa wanawapenda kina Ben pol,Jux,Diamond,Kiba Barnaba na wengine wanaoimba,lakini wewe umejivika mabomu unapenda za wagumu tu,sema nilichogundua ni kwamba unapenda muziki kwa ujumla na unaujua kwa kuwa unasikliza mashairi na sio muziki tu ili mradi umeimbwa na mwanamuziki anayeshabikiwa na wengi au anayeimba kwa sauti nyororo.Mi napenda sikiliza too much ya Darasa na kma utanipenda
Halaf blue usikilze mboga saba na pesaa,halaf uje uniambiee
Fid q hana elimu yeyote hv kuimba hayo maneno maneno ya kutafuta kwenye vitabu ndo anatoa elimu how ?
Kabisa mpenziDaah! lakini katika wanawake ni wachache sana wapo kama wewe ,maana wanawake wengi huwa wanawapenda kina Ben pol,Jux,Diamond,Kiba Barnaba na wengine wanaoimba,lakini wewe umejivika mabomu unapenda za wagumu tu,sema nilichogundua ni kwamba unapenda muziki kwa ujumla na unaujua kwa kuwa unasikliza mashairi na sio muziki tu ili mradi umeimbwa na mwanamuziki anayeshabikiwa na wengi au anayeimba kwa sauti nyororo.
Mtu kwaoKati ya wasaanii wotee Fid q alipata shangwee kuonesha wanamkubalii,halaf free style sasa wewewwww
Kama kuna watu walimshangilia sana inamaana kubwa sana kwa wanaopenyeza propaganda mbaya juu ya hiphop yake. It means wanaomuelewa ni wengi.Siendi show kusoma... Naenda kupata burdani. Mistari migumu hadi kichwa kinauma. Whaat for!!
Weusi ndo angalau lakn fid q amebaki kukopi vitabu
Kwa jibu lako nimekuelewaSiendi show kusoma... Naenda kupata burdani. Mistari migumu hadi kichwa kinauma. Whaat for!!
Kwani hivyo vitabu anavyocopy havina elimu ndani yake?Fid q hana elimu yeyote hv kuimba hayo maneno maneno ya kutafuta kwenye vitabu ndo anatoa elimu how ?