Msanii wa pekee Tanzania ambaye nyimbo zake hazichuji (ugumu wa mashahiri yake ambayo huchukua muda kuelewa kilicho zungumziwa kama kila.za lazima utachukia nyimbo zake) , ana uwezo mkubwa wa kufikiri unaojidhihirisha kupitia tungo zake na uwezo wake wa kufikiri unatokana na kusoma vitabu (najua wale wavivu wa kusoma ndio wanao mchukia) , msanii ambaye anafocus zaidi na jamii tofauti na wanahip hop wenzake kutwa kuponda media na wasanii wa bongo fleva ni msanii pekee ambaye naweza kusema nimejifunza mengi kupitia nyimbo zake na tungo zake (agosti 13).