Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uwongo mkuu sema hajui kitu eeeeh huwa anakopi kwny kitabu gan kwa mfano?????Huwa anacopy na ku paste vizuri....
Ni sawa mkuu, sanaa ndo ilivoHuwa anacopy na ku paste vizuri....
yap Ni Kweli na sio yeye tu cause art is so wide....Ni sawa mkuu, sanaa ndo ilivo
Mbona bongo fleva wana imba kila siku maneno yale yale
So bora fid q anaye kopi mapya
Dah aisee hili ni janga...yan katika mistar yote ya ngosha kwenye hiyo ngoma we umeona alipotajwa WEMA NA ZARI tu...dah sawa chief tumekupata"Wema anataka saa ya almasi...Zari anajari Muda,"
Acha uwongo mkuu sema hajui kitu eeeeh huwa anakopi kwny kitabu gan kwa mfano?????
R u sure?Huyo fid q ni overrated...