Fid Q..Lyrical Genious

Fid Q..Lyrical Genious

Mawazo mengi ya wasanii yana kuja baada ya ku copy YALIO mzunguka na anakuja kupaste ki vyake vyake kwenye Jamii ....nakama wewe Ni msomi Basi utajua feed anapenda kijifunza...Kama hupendi kujifunza utajifunza kutokea kwake na utayasikia Kama mapya kutoka kwa feed- hata hivyo wewe Ni shabiki wake mzuri Kama nilivyo Mimi
 
Ni sawa mkuu, sanaa ndo ilivo

Mbona bongo fleva wana imba kila siku maneno yale yale
So bora fid q anaye kopi mapya
yap Ni Kweli na sio yeye tu cause art is so wide....
Kwani Sanaa Ni nini?
 
1- fid q ni nani?
2- kwann yeye na sio wengine?
3-amewahi kufanya au anafanya nini?

kiufupu ni kuwa fid q ananunua na kuwasilisha sanaa yake kwa hadhira yake kwa njia ya usanii wa hali ya juu sana kiasi kwamba mtu asiyependa kushughulisha akili yake anaweza milele asimuelewe anachoongelea.

Inahitaji kuwa na 4g ya brain yako kuendana na kasi ya tungo as fareed kubanda.
 
.....Anaye kupiga ngumi ya jicho nawe mpige ngumi ya skio,akikuuliza una onaje, muulize ana skiaje.....
 
Jamaa aninipa furaha san hasa song yake ya i am proffesion......
Ni vema kunitoa ushamba kwa sekunde lkn baadae nitakua.......(.............)
 
Msanii wa pekee Tanzania ambaye nyimbo zake hazichuji (ugumu wa mashahiri yake ambayo huchukua muda kuelewa kilicho zungumziwa kama kila.za lazima utachukia nyimbo zake) , ana uwezo mkubwa wa kufikiri unaojidhihirisha kupitia tungo zake na uwezo wake wa kufikiri unatokana na kusoma vitabu (najua wale wavivu wa kusoma ndio wanao mchukia) , msanii ambaye anafocus zaidi na jamii tofauti na wanahip hop wenzake kutwa kuponda media na wasanii wa bongo fleva ni msanii pekee ambaye naweza kusema nimejifunza mengi kupitia nyimbo zake na tungo zake (agosti 13).
 
Acha uwongo mkuu sema hajui kitu eeeeh huwa anakopi kwny kitabu gan kwa mfano?????

Tafuta ngoma I am proffesional mistari na tafuta ngoma ya lily kim sikutajii hiyo ngoma kakop ngoma yote kama unajua kingeleza kama ujui acha
 
Back
Top Bottom