Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

“Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni mtu mwenye kibri ,majivuno na chuki zisizo za msingi”
Mkuu hiyo kauli yako ni bahati mbaya au umeandika kwa makusud!?
Kwann unataka kutuaminisha sote unachoamini ww kwa Ally Kiba!?
Huo ni mtazamo wako binafsi mzee, wengine hatuon tatz lolote kwa Ali Kiba kibri, Jeuri hyo ni maoni yako na mtazamo wako na kimsingi ndyo kazi ya kichwa chako, kifkirie nin xax km kimejaa mitazamo hasi juu ya maisha ya watu....
Mkuu nikuombe usitusaidie kufikir sisi wengine tafadhali, sema mtazamo tu usihitimishe.
Mwisho ili tukujibu tuhuma zako leta facts siyo mihemko na hisia zako mfano;
1. Tuambie kwann kna Ali Kiba walinyanyuka, je ni kweli walinyanyuka kwa kumkimbia Konde boy!? Na kwann!? Wana hoja gan!?
2. Sababu za msingi za Konde boy kuchelewa msiban n zipi!? Ni kweli dharula au alitaka attention km watoto wa Wcb kawaida yao!?
 
Atoe mkono Ili wamroge?
 
Sema hawa dabiliusibii nao wanapenda sana 'attention', kaja na hao mabodigadi utafikiri labda kuna tishio fulani dhidi ya uhai wake, mbwembwe nyiiingi, watu wapo msibani unakuja na show-off za kishamba, who is Harmonize by the way? Haoni wenzake akina Shetta wapo bize kuhudumia waombolezaje, kawapita moguls Kiba na Fid hapo kama hawaoni, kesho hawahawa ndo unasikia anaumwa sana anahitaji watu wamchangie! Tujifunze kuishi maisha ya kawaida na kuachana na kiki misibani! Shwain!
 

Kwani kuna shida gani msanii akienda na walinzi wake msibani? Lazima tukubali msanii akiwa mkubwa kuna vitu havikwepeki kamwe Harmonize hawezi kuishi kama wewe! Unasema who is Harmonize kutoka moyoni au kwakuwa uko kufurahisha? Hivi unajua hata Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine yasingelimpata hayo?
 
Nashangaaa watu wanaoshangaa mtu kuondoka baada ya mtu kuja kila mtu na mda wake bhana kwani walikuja wote watu wazima wale kila mtu anamambo yake

Kwanini upewe mkono ukatae?
 

Kwa hiyo kutoa mkono kwa mwenzake kunge sababisha mziki wake ushuke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…